Kwa sasa kumtetea Rais MAGUFULI (RIP) ni ngumu sana sawa na kuwatetea Single mother kulivyo na ugumu

Mimi nilikuwa na mkubali sana jpm kwa 90% katika utendaji wake wote na hata kifo chake kinaniuma hadi leo.
Mimi sio mtu wa siasa za hapa Tz Maana naona kabisa hii nchi hakuna chama cha upinzani kilicho serious.

Siku mbili hizi Tangu kitabu cha kabendera kiachiwe naona jpm kafukuliwa huko aliko hata mafisadi yamepata pakutemea nyongo.Yaani imekuwa ngumu mno kusimama na kutetea hata ukisema mazuri yake buku anaibuka mtu anakwambia Jpm alimpiga bastola ben saanane hadi akaanza kutetemeka na siraha ikadondoka chini.

Nikweli yanasemwa mengi sana kuhusu ubaya wake na wengi wanasema alikuwa kichaa..... Ningependa hizi tuhuma zithibitishwe kwa ushahidi kama kweli jpm alienda kumbaka makamu wake akiwa kavaa pajama tupu kama mwandishi anavyosema na kwa kuwa makamu yupo aende akatoe ushahidi mahakamani kuwa kweli mimi makamu wake jpm alikuja na pajama akitaka kunibaka nami nikamwambia nitajihudhuru u makamu.

Tofauti na hapo hizi hoja hazina mashiko yoyote. Mimi siamini wala sikatai ila nitaamini na kukubali iwapo ushahindi utatolewa na kuthibitisha kuwa ni kweli aliua.

Nimeona Uzi wa Askofu mwamakula naye katema nyongo yake lakini bado hoja yake zinakoswa mashiko kama alijitoa muhanga ilikuwaje asiyaseme hayo yote kipindi hicho?

Nachojiuliza hadi sasa mbona utekaji na mauaji yamezidi kuliko hata kipindi cha jpm?

Kwani nani anamtetea? Anamtetea kuhusu nini? Hivi mtu mwenye akili anamtetea marehemu ambaye hana stake yoyote na tunachofanya ili iweje?

JPM amekwenda na hatarudi hata mkianzisha kesi kila uchao. Watanzania watawadai walio hai kupata maslahi yao. Ni ujinga uliopitiliza kufikiria kwa sasa JPM ana impact yoyote.

CCM, tena wale waliofikiria ni marafiki, ndio wanakwaana. Ngoja tuone mziki utaishia wapi
 
kuwa kiongozi wa watu zaidi ya milioni 60 sio kazi ndogo, inapobidi kuuwa wachache kwaajili ya wengi ni sahihi kama kiongozi. Kwajinsi nchi hii ilivyo kama nikweli basi Mungu atamsamehe Magufuli huko aliko kwa kuchomoa samaki wachache waliooza kwenye friji ili samaki wengi nao wasioze.
Lolote litakalosemwa kuhusu Magufuli haliwezi kufunika mazuri mengi aliyoyafanya kwenye nchi hii.
Kuua ni dhambi na Mungu hawezi kuruhusu. Mahakama kazi yake nini? Madikteta ndio hufanya kila kitu wenyewe na kutaka kuabudiwa kama mungu.
 
Angekuwepo asome kitabu chake ingekuwa poa sana..
Kama walimu walisema alivuta bangi na kung'oa dirisha la shule
Na mama yake mzazi alisema ni kichaa mimi ni nani nikatae
 
Hii nchi ina wapuuzi wengi sana ikiwepo watu kama hawa wakina Kabendera. Katika content ya kitabu ukifuatilia kina hype kubwa ya mauaji yasiokuwa na ushahidi.

Nina uhakika hii hype ya kitabu haiwezi kufika mwezi mmoja au miwili na itapotea yote na kitabu hakitauza tena.

Upinzani na wao wakitaka kujichanganya zaidi maana hadi sasa washapoteana ila wakiongelea ujinga wa kina Kabendera watapotea kabisa, kwenye uchaguzi kwa sasa CCM na Upinzani wote ni hovyo kabisa.
Sahihi mkuu
 
Kama watu wnataka kumsema Magufuli kwa maovu aliyoyafanya, watamsema.

Kama kafanya maovu kweli, kuyasema ni wajibu, hata kwa sababu ya kujifunza watu wasiyarudie tu.

Ndiyo maana watu wanaandika vitabu vya Hitler mpaka leo.

Huelewi nini hapo?

Ukisema wasiandike mabaya ya Magufuli, that is censorship. Unawszima wasiseme wanavyotaka kusema.

Kabendera kaandika kitabu cha kuonesha upande wake. Kama na wewe una upande wako, andika tutakisoma.

Kama mnaona Kabendera kadanganya, katuhumu vibaya, mshitakini.

Msipomshitaki, mmekubali tuhuma.

Silence implies consent.
Wewe jamaa una kichwa kigumu sana au sijui unafanya makusudi tu, kwani ni wapi ambapo nimesema wewe na watu WA aina yako muache kumsema Magufuli?

Mimi SI nimetoa maoni tu kama wachangiaji wengine?

We jamaa mbona unanilisha maneno Mimi wewe,? Wapi nimesema au kuwauzia msiandike mabaya ya Magufuli? Mbona unanilisha maneno kipuuzi hivyo?

Mimi kukwambia wewe kiranga ni mjinga sana Kwa tabia yako ya kulewa ovyo mpaka unaisahau familia yako, simaanishi kwamba tabia hiyo unatakiwa uiache au uendelee nayo.... Bali Mimi nimetoa maoni yangu kuhusiana na tabia yako ambayo binafsi naona ni ya kijinga na haina manufaa, suala la kuiacha tabia hiyo au kuendelea nayo ni juu yako mwenyewe.

Kuhusu kumuamini Kibendera eti kisa Bado hajashtakiwa mahakamani huo ni ujuha uliochanganyikana na upumbavu.... Mtu wa dizaini yako inaonekana hata siku ukiletewa taarifa kwamba mama yako alikuwa ni kahaba WA kujipanga barabarani na hata wewe alikupata katika mazingira hayo na hata huyo mzazi wako ambaye mama yako amekuwa akikuaminisha ndio baba yako sio baba halisi..... Kwa akili zako utamuamini mtu huyo mpaka pale mama yako atapokuja kuprove otherwise ikiwemo kumshataki mtu huyo mahakamani hili athibitisho...na endapo kama mama yako hatokuwepo wakati huo au akishindwa Kwenda mahakamani Kwa sababu zozote zile basi utamuamini mtu huyo Moja Kwa Moja kwamba mama yako alikuwa ni kahaba, hivi ndivyo jinsi akili yako ilivyi fupi japo unajiona una akili sana.
 
Eti "Magufuli alimbaka mtoto wake mdogo mwenye umri WA miaka 16 kisha akamuambukiza HIV halafu baada ya hapo akamuua".. kabisa?

Hakika ni wapumbavu na majuha tu wenye chuki na Magufuli ndio wataamini hizi tuhuma za kitoto ambazo haziingiaa akilini hata kidogo.
 
Watu kumuandika kiongozi wao wa zamani ni historia.

Historia ni sehemu ya kujifunza makosa ili yasirudiwe.

Ukikataza watu wasijifunze historia, unaachia watu warudie makosa ya awali.

Huelewi nini hapo?

Sijasema umuamini Kabendera kwa sababu hajashitakiwa mahakamani. Nikikuambia unioneshe sehemu nilipokuambia umuamini Kabendera huwezi kunionesha. Ni wewe ngumbaru tu hujui kusoma kwa ufahamu.

Nimekwambia kama Kabendera kasema uongo na wewe unataka kuonesha uongo uki wapi na ukweli uko wapi, sehemu nzuri ya kuchunguza maneno hivyo ni mahakamani kwenye rules of evidence na perjury.

Ila nina shaka kama unaelewa hata perjury ni nini.
 
Eti "Magufuli alimbaka mtoto wake mdogo mwenye umri WA miaka 16 kisha akamuambukiza HIV halafu baada ya hapo akamuua".. kabisa?

Hakika ni wapumbavu na majuha tu wenye chuki na Magufuli ndio wataamini hizi tuhuma za kitoto ambazo haziingiaa akilini hata kidogo.
Tuhuma kubwa sana hizo.

Mshitakini tujue ukweli na uongo kwa standard za mahakamani.

Si kuhukumu kitabu ambacho hujakisoma kwa malumbano ya kelele zisizo na muelekeo wala tija za JF.
 
MUNGU ALIAMUA UGOMVI....Bila MUNGU kuingilia yule bwana alikuwa atumalize
 
Hakuna aliye mtimilifu, tujifunze kusameheana, ili kufupisha chain ya roho mbaya.
 
Mimi nilikuwa na mkubali sana jpm kwa 90% katika utendaji wake wote na hata kifo chake kinaniuma hadi leo.
Mimi sio mtu wa siasa za hapa Tz Maana naona kabisa hii nchi hakuna chama cha upinzani kilicho serious.

Siku mbili hizi Tangu kitabu cha kabendera kiachiwe naona jpm kafukuliwa huko aliko hata mafisadi yamepata pakutemea nyongo.Yaani imekuwa ngumu mno kusimama na kutetea hata ukisema mazuri yake buku anaibuka mtu anakwambia Jpm alimpiga bastola ben saanane hadi akaanza kutetemeka na siraha ikadondoka chini.

Nikweli yanasemwa mengi sana kuhusu ubaya wake na wengi wanasema alikuwa kichaa..... Ningependa hizi tuhuma zithibitishwe kwa ushahidi kama kweli jpm alienda kumbaka makamu wake akiwa kavaa pajama tupu kama mwandishi anavyosema na kwa kuwa makamu yupo aende akatoe ushahidi mahakamani kuwa kweli mimi makamu wake jpm alikuja na pajama akitaka kunibaka nami nikamwambia nitajihudhuru u makamu.

Tofauti na hapo hizi hoja hazina mashiko yoyote. Mimi siamini wala sikatai ila nitaamini na kukubali iwapo ushahindi utatolewa na kuthibitisha kuwa ni kweli aliua.

Nimeona Uzi wa Askofu mwamakula naye katema nyongo yake lakini bado hoja yake zinakoswa mashiko kama alijitoa muhanga ilikuwaje asiyaseme hayo yote kipindi hicho?

Nachojiuliza hadi sasa mbona utekaji na mauaji yamezidi kuliko hata kipindi cha jpm?
kwa hio bro kuwatetea single mother ni ngumu ?? 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom