Kwa sasa kumtetea Rais MAGUFULI (RIP) ni ngumu sana sawa na kuwatetea Single mother kulivyo na ugumu

Wajinga kama nyie ndo mtaji wa ccm.USIUE(kaua),USIIBE(chato airport),USIZINI(uchi na pajama)
 
Tuhuma kubwa sana hizo.

Mshitakini tujue ukweli na uongo kwa standard za mahakamani.

Si kuhukumu kitabu ambacho hujakisoma kwa malumbano ya kelele zisizo na muelekeo wala tija za JF.
Nimshtaki hili nifaidike na Nini?

Haya basi endeleeni kuwashauri wapinzani waongelee zaidi mabaya ya Magufuli kuliko changamoto na matukio ya kuogofya yanayotokea awamu hii itawasaidia kwenye uchaguzi WA mwaka huu 2025

Maana mabaya ya Magufuli ndio Yana uzito sana kuliko mambo tunayoyaona leo hii yanayowaumiza wananchi.
 

Mshitakini ili mthibitishe uongo wake.

Kabendera kaandika kitabu kama Mtanzania, si kama mpinzani.

Kabendera hana cheo chochote katika chama chochote cha upinzani.

Ukweli haujali matokeo ya uchaguzi. Utabaki ule ule bila kujali nani atashinda uchaguzi.

Mabaya ya kiongozi siku zote yana uzito wa kujadiliwa kuliko mazuri. Kiongozi kufanya mazuri ni wajibu wake, kufanya mabaya si wajibu wake.

Tukiona nyumba iliyopakwa rangi nzuri inaungua, tutaweka uzito kwenye kuzima moto, si kusifia nyumba ina rangi nzuri.
 
Sawa tutamshtaki
 
Mi mods inachapa usigizi wa pono watu mpaka hawawezi kutumia tafsida yenyewe Inakenua menu tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…