Edwin Minja
Member
- Aug 10, 2013
- 81
- 138
kwani wana kosa gani ?? 😁Unaanzaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani wana kosa gani ?? 😁Unaanzaje?
Anzisha uzi tu wa kuwatetea kama utaeleweka ukiona anaye kuunga mkono kuna mawili tu kaoa singo maza ama hapo kwakwe dada yake/mtoto wake ni single maza vilevilekwani wana kosa gani ?? 😁
🤣🤣🙌🙌Anzisha uzi tu wa kuwatetea kama utaeleweka ukiona anaye kuunga mkono kuna mawili tu kaoa singo maza ama hapo kwakwe dada yake/mtoto wake ni single maza vilevile
Wajinga kama nyie ndo mtaji wa ccm.USIUE(kaua),USIIBE(chato airport),USIZINI(uchi na pajama)Pamoja na yote baadhi ya watu walistahili kukutwa na yaliyowakuta kipind cha JPM.
Ni wachache Sana walionewa.
Hii nchi imejaa watu wa hovyo Sana na ili kiongozi aweze kuibadili na kuleta maendeleo ni lazima mkono wa chuma utumike.
Naweka hapa baadhi ya mnaoona walionewa.
1. Kipind cha JPM watumishi wa umma kutoongezwa mishahara hawakuonewa maana hili kundi Kwa asilimia kubwa halitimiz majukum ipasavyo .
2. Vyama vya Upinzani kudhibitiwa kipind cha JPM ilikuwa Sawa tu maana tulivyonavyo nchini si Vyama Bali ni magenge ya wenye akili wachache wanaotumia ujinga wa Watanzania kujinufaisha.
3. Erick Kabendera alitumia kalamu yake vibaya kuandika Mambo yasiyonufaisha nchi. Hata hivyo Zaid ya kuwekwa kizuizin hakuna alichotendewa
4. Jaribio la mauaji ya Tundu Lissu. Ukweli ni kwamba utawala ule ulichoshwana chokochoko za Lissu. Hawakuwa na options zingine Zaid ya kujaribu kumuua maana Lissu huwez kumshinda kisheria.
5. Ben Saanane. Hoja yake kuhusu PhD ya JPM ililenga kutaka kumdhalilisha JPM Kwa maslahi yasiyojulikana. Hakustahili kuuwawa lakin kitendo cha Ben Saanane kilistahili adhabu ,, je JP< angefanya nin maana asingeweza kumpeleka mahakani.
Tufahamu sote kwamba Katiba yetu imempa Rais mamlaka makubwa Sana hvyo unapoanzisha mgogoro binafsi na mtu aliye juu ya sheria basi angalau iwe ni Kwa maslahi mapana Sana na ya waziwaz ya taifa.
Nimshtaki hili nifaidike na Nini?Tuhuma kubwa sana hizo.
Mshitakini tujue ukweli na uongo kwa standard za mahakamani.
Si kuhukumu kitabu ambacho hujakisoma kwa malumbano ya kelele zisizo na muelekeo wala tija za JF.
Nimshtaki hili nifaidike na Nini?
Haya basi endeleeni kuwashauri wapinzani waongelee zaidi mabaya ya Magufuli kuliko changamoto na matukio ya kuogofya yanayotokea awamu hii itawasaidia kwenye uchaguzi WA mwaka huu 2025
Maana mabaya ya Magufuli ndio Yana uzito sana kuliko mambo tunayoyaona leo hii yanayowaumiza wananchi.
Sawa tutamshtakiMshitakini ili mthibitishe uongo wake.
Kabendera kaandika kitabu kama Mtanzania, si kama mpinzani.
Kabendera hana cheo chochote katika chama chochote cha upinzani.
Ukweli haujali matokeo ya uchaguzi. Utabaki ule ule bila kujali nani atashinda uchaguzi.
Mabaya ya kiongozi siku zote yana uzito wa kujadiliwa kuliko mazuri. Kiongozi kufanya mazuri ni wajibu wake, kufanya mabaya si wajibu wake.
Tukiona nyumba iliyopakwa rangi nzuri inaungua, tutaweka uzito kwenye kuzima moto, si kusifia nyumba ina rangi nzuri.
MUNGU ALIAMUA UGOMVI....Bila MUNGU kuingilia yule bwana alikuwa atumalize
Chuma hakihitaji mtetezi!Magufuli was and is my role model to date.