Kwa sasa, kuokota simu si bahati tena bali ni balaa

Unaokotaje Simu ? Kwamba mtu ameitupa ?; Labda ungesema hivi kwa sasa kununua kitu electronic used ni kujitafutia balaa unless unanunua sehemu inayoeleweka na risiti unapewa.
Simu zinaokotwa daily mkuu. Kule Dar mwaka juzi boya mmoja alimuua mkewe. Akakimbia kutoka nyumba Yao ilipo akatupa simu yake na line zake. Dogo mmoja akaiokota akaanza kutumia ikiwa na line zake vilevile! Akanaswa na cops siku nne baadae
 
Upeleke tena polisi tena? Ukiiona usichukue!
Polisi ambacho wanaweza kukuelewa labda uokote Briefcase ya hela harafu uipeleke Polisi! Hapo watakuelewa.
 
Simu zinaokotwa daily mkuu. Kule Dar mwaka juzi boya mmoja alimuua mkewe. Akakimbia kutoka nyumba Yao ilipo akatupa simu yake na line zake. Dogo mmoja akaiokota akaanza kutumia ikiwa na line zake vilevile! Akanaswa na cops siku nne baadae
That is my point unaokotaje Simu ? Tukikuacha na tabia hizo mwisho utaanza kuokota gari na nyumba. Kitu valuable mtu hawezi kukitupa ni kwamba ni kama hivyo ameibiwa au amepoteza hata pesa ukikuta imedondoka ni kwamba mtu ameangusha ila ndio hivyo ni vigumu kuanza kutafuta mmiliki wa kitu ambacho kila mtu anacho na sio unique...

Unless unataka kuwa technical as kutumia neno Kuokota (yaani kitu kimeanguka wewe kukichukua / pick it up); na ingekuwa hivyo mleta uzi asingeweka neno bahati.
 
Kuna binti ninayeishi naye siku moja ananiambia “dada naomba charger nichajie simu nimeiokota” Khe! Macho yalinitoka balaa, nikamwambia irudishe ulipoiokota inawezekana mwenye simu kauawa huko, binti akawa hanielewi. Anang’ang’ana hapana ni salama wala hajauawa, nikaona huyu dogo anajiona mjanja, nikahisi atakuwa kapatiwa simu na kivulana huko mtaani. Niliichukua na kwenda kuitupa mwenyewe.

Kwa dunia ya sasa ilivyo siwezi kuokota kitu kinachoweza kuwa tracked.
 
Kuna simu zina feature ya kurekodi sura ya mtumiaji kwa siri hiyo inaweza kusaidia kupata ukweli iwapo ilikuwemo na ilikuwa enabled
 
Polisi tena?
Wee usijaribu labda Ulaya ila sio Africa
Ukisema nimeokota utachekwa kwanza halafu yanafuata makofi
 
Kuna mwingine kauziwa simu ya mchungaji ambaye alivamiwa akauliwa… jamaa anasota jela aliacha mkewe mjamzito mpk kajifungua yeye hajatoka..!!

Aliyemuuzia hamjui na hajapatikana mpk sasa.!! Hizi tamaa zingine sio nzuri.!
 
Pole yake asee. Simu so ya kuokota asee.
 
Aseeh Tanzania hii uokote simu afu uipeleke kituoni! Sio lazima kuwa patriotic kiasi hiki wema wako utakuponza-feruzi rr
 
Kuna mwingine kauziwa simu ya mchungaji ambaye alivamiwa akauliwa… jamaa anasota jela aliacha mkewe mjamzito mpk kajifungua yeye hajatoka..!!

Aliyemuuzia hamjui na hajapatikana mpk sasa.!! Hizi tamaa zingine sio nzuri.!
Wengine hawana elimu ndio shida. Polisi wangepaswa kutoa elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…