Sina shida na Lissu nasubiri kwa hamu kuona uongozi wake, najua kuna mahali atafanya vizuri lakini kuna masuala kama vile mafekeche ya kuendesha chama na jinsi ya kuyapata. Hii ni changamoto kubwa kwa uongozi wa CHADEMA kwa sasa.
Uongozi wa CHADEMA unahitaji kutafuta vyanzo vya uhakika vya mapato. Mipango ni mingi kuhakikisha CDM hakipati wabunge wa kutosha ili chama kiwe dhaifu. Mheshimiwa Mbowe alikibeba chama kama mtoto wake mpendwa lakini sasa hapendi kusumbuliwa kwa suala la fedha kwani amepoteza mabilioni na sasa anajikita zaidi kufafuta mafekeche ya kutosha kama alivyosema katika hotuba yake ya kumaliza ngwe yake.
Dr. Slaa anajipigania mwenyewe huko alipo. Hakuna tena ile nguvu ya diplomacy ya Bwana Mbowe. Na hadi sasa hakuna dadili hata ya maandamano ya mshikamano, mwezi unakwisha tangu uongozi mpya kushika hatamu wana CHADEMA wanasubiri kuoneshwa njia.
Ila naomba msimwache Lissu peke yake kama mlivyofanya kwa Mbowe, hali itakuwa mbaya. Kazi ipo.