Citizen_37
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 957
- 1,124
Hawakutegemea haya mabadiliko aise!! Wanahaha kweli 🤣 🤣 🤣 🤣Bado chawa wa Mbowe mnaomboleza tu? Chadema ipo tena ipo sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawakutegemea haya mabadiliko aise!! Wanahaha kweli 🤣 🤣 🤣 🤣Bado chawa wa Mbowe mnaomboleza tu? Chadema ipo tena ipo sana.
Vyama vya kiliberali (mashoga) anavyoshirikiana navyobvinamssidia.Sina shida na Lissu nasubiri kwa hamu kuona uongozi wake, najua kuna mahali atafanya vizuri lakini kuna masuala kama vile mafekeche ya kuendesha chama na jinsi ya kuyapata. Hii ni changamoto kubwa kwa uongozi wa CHADEMA kwa sasa.
Uongozi wa CHADEMA unahitaji kutafuta vyanzo vya uhakika vya mapato. Mipango ni mingi kuhakikisha CDM hakipati wabunge wa kutosha ili chama kiwe dhaifu. Mheshimiwa Mbowe alikibeba chama kama mtoto wake mpendwa lakini sasa hapendi kusumbuliwa kwa suala la fedha kwani amepoteza mabilioni na sasa anajikita zaidi kufafuta mafekeche ya kutosha kama alivyosema katika hotuba yake ya kumaliza ngwe yake.
Dr. Slaa anajipigania mwenyewe huko alipo. Hakuna tena ile nguvu ya diplomacy ya Bwana Mbowe. Na hadi sasa hakuna dadili hata ya maandamano ya mshikamano, mwezi unakwisha tangu uongozi mpya kushika hatamu wana CHADEMA wanasubiri kuoneshwa njia.
Ila naomba msimwache Lissu peke yake kama mlivyofanya kwa Mbowe, hali itakuwa mbaya. Kazi ipo.
Ushoga wa Bara unatokea Zanzibar na sio Ulaya.Vyama vya kiliberali (mashoga) anavyoshirikiana navyobvinamssidia.
Mafekeche ya familia hata wewe unaweza, chama CDM anahitaji mtu wa kumsaidia katika hili.Lissu sio practical-una maanisha nini?
Hana ujanja wa kutafuta mafekeche- unamsaidia kutunza familia yake?.
Unafikiri CCM inasavaivu kwa sababu ya kuungwa mkono na wengi au kwa sababu ya mafekeche? Ondoa fekeche CCM uone kama utamwona Samia hapo.A short-sighted mind arguments.
Kitu Cha muhimu zaidi ni kuungwa mkono na Wananchi wengi zaidi ambao wenye akili timamu sawa sawa kabisa, wenye nia ya dhati kabisa ya kudai na kupigania Haki zao, wenye dhamira za dhati kabisa katika HAKI, Demokrasia, Maendeleo, Mabadiliko pamoja na mambo mengine yote ya msingi. Mtaji mkubwa zaidi wa Chama chochote kile Cha Siasa ni WATU. Watu ndio mtaji mkubwa zaidi.
Msingi Mkuu wa Demokrasia hapa duniani unaamini kwamba "wengi ndio kushinda"
Chama cha ANC Cha Afrika Kusini enzi za kupigania Uhuru wa Watu weusi kilikuwa hakina pesa na wala Viongozi wake hawakuwa na pesa, hata miradi yao binafsi ilihujumiwa na Utawala wa Makaburu. Kwanza Utawala wa nchi hiyo chini ya Wazungu wachache walikitangaza Chama hicho cha ANC kuwa ni KUNDI LA KIGAIDI.
Lakini kwa kuwa Chama hicho Cha ANC kilikuwa kinaungwa mkono Sana na Watu/Wananchi walio wengi Wapenda HAKI, basi Utawala wa kidhalimu wa Makaburu ulishindwa na hatimaye Chama hicho kiliibuka kidedea na kushika Dola katika nchi hiyo ya Afrika Kusini hadi sasa. Watu Wapenda Haki walijitolea muhanga katika harakati za hatari kubwa sana za kukipigania Chama hicho hadi kikashinda licha ya kuwepo kwa Vitisho vikubwa vya kuuawa kutoka kwa Utawala wa Makaburu. Haikuwa kazi rahisi hata kidogo katika kukipigania Chama hicho, lakini hatimaye HAKI ilishinda.
Mkuu, ulitugeuka! Ukaungana na MNYAMPAA. Au nilikuwa sikufahamu vizuri?Chama hakina Pesa?
Bado hamjapona maumivu ya uchaguzi tulieni dawa itafika tu kila mtu atafikiwa kwa wakati ufunuo wa TALSina shida na Lissu nasubiri kwa hamu kuona uongozi wake, najua kuna mahali atafanya vizuri lakini kuna masuala kama vile mafekeche ya kuendesha chama na jinsi ya kuyapata. Hii ni changamoto kubwa kwa uongozi wa CHADEMA kwa sasa.
Uongozi wa CHADEMA unahitaji kutafuta vyanzo vya uhakika vya mapato. Mipango ni mingi kuhakikisha CDM hakipati wabunge wa kutosha ili chama kiwe dhaifu. Mheshimiwa Mbowe alikibeba chama kama mtoto wake mpendwa lakini sasa hapendi kusumbuliwa kwa suala la fedha kwani amepoteza mabilioni na sasa anajikita zaidi kufafuta mafekeche ya kutosha kama alivyosema katika hotuba yake ya kumaliza ngwe yake.
Dr. Slaa anajipigania mwenyewe huko alipo. Hakuna tena ile nguvu ya diplomacy ya Bwana Mbowe. Na hadi sasa hakuna dadili hata ya maandamano ya mshikamano, mwezi unakwisha tangu uongozi mpya kushika hatamu wana CHADEMA wanasubiri kuoneshwa njia.
Ila naomba msimwache Lissu peke yake kama mlivyofanya kwa Mbowe, hali itakuwa mbaya. Kazi ipo.
Tumwombee Mungu.Bado hamjapona maumivu ya uchaguzi tulieni dawa itafika tu kila mtu atafikiwa kwa wakati ufunuo wa TAL
Utawala wowote ule ambao survival yake inategemea kwenye pesa peke yake bila ya kuwa na Ushawishi wa Nguvu za Hoja kwa Wananchi wengi zaidi basi tambua kwamba Utawala huo Afya yake ipo mashakani Sana( Utawala ambao upo ICU), na muda wowote ule jina lake linaweza kuitwa kwa kuanzia na neno 'marehemu.'Unafikiri CCM inasavaivu kwa sababu ya kuungwa mkono na wengi au kwa sababu ya mafekeche? Ondoa fekeche CCM uone kama utamwona Samia hapo.