Kwa sasa Mbowe hataki kusumbuliwa kuhusu suala la Slaa na fedha za shughuli ndani ya chama. Hii ni changamoto kubwa CHADEMA

Vyama vya kiliberali (mashoga) anavyoshirikiana navyobvinamssidia.
 
Lissu sio practical-una maanisha nini?
Hana ujanja wa kutafuta mafekeche- unamsaidia kutunza familia yake?.
Mafekeche ya familia hata wewe unaweza, chama CDM anahitaji mtu wa kumsaidia katika hili.
 
Unafikiri CCM inasavaivu kwa sababu ya kuungwa mkono na wengi au kwa sababu ya mafekeche? Ondoa fekeche CCM uone kama utamwona Samia hapo.
 
Bado hamjapona maumivu ya uchaguzi tulieni dawa itafika tu kila mtu atafikiwa kwa wakati ufunuo wa TAL
 
Unafikiri CCM inasavaivu kwa sababu ya kuungwa mkono na wengi au kwa sababu ya mafekeche? Ondoa fekeche CCM uone kama utamwona Samia hapo.
Utawala wowote ule ambao survival yake inategemea kwenye pesa peke yake bila ya kuwa na Ushawishi wa Nguvu za Hoja kwa Wananchi wengi zaidi basi tambua kwamba Utawala huo Afya yake ipo mashakani Sana( Utawala ambao upo ICU), na muda wowote ule jina lake linaweza kuitwa kwa kuanzia na neno 'marehemu.'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…