Kwa sasa mimi ndiye mwenye mpenzi mzuri kuliko wote Tanzania

Kwa sasa mimi ndiye mwenye mpenzi mzuri kuliko wote Tanzania

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,869
Reaction score
11,484
Siitaji kusifiwa maana nishasifiwa sana

Ila ni mwanamke ambae kila mwanaume anamtamani

Mara nyingi nimeshawahi kwenda nae BAR kwa heshima watu wanatupisha kutuachia seat tena madingi na heshima zao

Tuna tembea njiani watu kupark gari kuomba watusindikize tunakoenda

NB: hii ni story kutoka kwa mshikaji wangu nani kweli ana Mali kali
 
Weka picha ya mali hiyo tuone kama hatumfahamu katika pitapita zetu.
 
Penzi jipya halijawahi kuacha mtu salama.

Ukipenda chongo, utaona kengeza.

Tukupe siku ngapi kabla hujaja kitubu kwaajili yake?
 
Demu mwenyewe ndio yule mwanafunzi aliyekula hela zako akakuacha?
 
Back
Top Bottom