Bar? JeezMara nyingi nimeshawahi kwenda nae BAR
Jukwaa la mapenzi hili
Weka picha ya mali hiyo tuone kama hatumfahamu katika pitapita zetu.Siitaji kusifiwa maana nishasifiwa sana
Ila ni mwanamke ambae kila mwanaume anamtamani
Mara nyingi nimeshawahi kwenda nae BAR kwa heshima watu wanatupisha kutuachia seat tena madingi na heshima zao
Tuna tembea njiani watu kupark gari kuomba watusindikize tunakoenda
NB: hii ni story kutoka kwa mshikaji wangu nani kweli ana Mali kali
Weka pichaHumfahamu