Kwa sasa, mita nyingi za Luku zinaondolewa Tariff Zero

Kwa sasa, mita nyingi za Luku zinaondolewa Tariff Zero

Na kwa nyongeza, kipindi cha mwezi mmoja, kinasomeka kwa kalenda ya kawaida, yaani kuanzia tarehe 1 mpaka 30 (mwisho wa mwezi) au kinasomeka kama utaratibu wa bando za simu, yaani siku 30 toka ulipoweka umeme?
Kipindi cha mwezi mmoja kwenye Tariff namba 4 husomeka from the date uliponunua umeme na si vinginevyo..
 
Hii wiki imekua Ni vilio kwa watu kila mahali,

Wengi wameondolewa tarrif zero, na Hakuna maelezo ya kueleweka.

Tumezoea ukizidisha matumizi ya unit 70 kwa mwezi, automatically system inakuondoa tariff zero (umeme wa 1,000= unit 8.4)
Kwa sasa unaondolewa tu kwa lazima hata Kama ujazidisha.

Mtu Hana tv Wala redio, anatumia balbu 2 tu na simu kaondolewa tarrif zero. Akitaka kununua umeme UNAGOMA afu anaambiwa "unatakiwa upate key change".

Sijajua ndo ukusanyaji mpya wa mapato ya serikali kwa kulazimisha watu wengi watumie tarrif 4 (umeme wa 1000= unit 2.9) au Kuna kitu kingine pembeni kinaendelea TUFAHAMISHWE.

Kwa maana tangu huu mwezi uanze, vijana wa Tanesco wamekuwa wakipita nyumba Hadi nyumba mara kwa mara, wakidai wanakusanya takwimu za mita za luku.
Mimi huwa napata shida na hizi MITA mpya, Yani kwangu ikifika saa Moja usiku mpaka saa nne kazi Moja umeme unakatika na kuwaka, Kila dakika, kwa majirani zangu wenye MITA tofauti na zangu umeme haukati, Yani ni KERO kero
 
Niwasaidie wale wasiojua someni TANESCO TARIFF ADJUSTMENT ORDER YA MWAKA 2016, inasema kabisa waziwazi kwamba wanaotakiwa kuwa na hiyo Tariff4 ni wale wa kijijini tu (attached copy) inaonyesha, pia yule aliyesema kwamba kaondolewa kwa kukosea kununua umeme mara moja si kweli, inabidi ukosee mara 3 mfululizo ndani ya miezi mitatu (copy attached). Umetolewa huenda wewe upo mjini hiyo ndio itakuwa sababu kubwa. Ila mimi mwenyewe nilishawahi kukosea kununua kwa mwezi mmoja na sikuwahi kutolewa mimi nipo nje ya dar kabisa nipo mkoa mwingine. Ni hayo tu
Screenshot_20220815-075454_Drive.jpg
 
Cha bure wapi? Kwani hiyo tarrif unaipata bure?
Sisi wengine wastani wa matumizi tangu tuunganishiwe umeme miaka 3 iliyopita haijawahi kuzidi unit 25 kwa mwezi lakini tunanunua umeme unit 14 kwa shs 5000/- Tanesco ni makaburu !!
 
Niwasaidie wale wasiojua someni TANESCO TARIFF ADJUSTMENT ORDER YA MWAKA 2016, inasema kabisa waziwazi kwamba wanaotakiwa kuwa na hiyo Tariff4 ni wale wa kijijini tu (attached copy) inaonyesha, pia yule aliyesema kwamba kaondolewa kwa kukosea kununua umeme mara moja si kweli, inabidi ukosee mara 3 mfululizo ndani ya miezi mitatu (copy attached). Umetolewa huenda wewe upo mjini hiyo ndio itakuwa sababu kubwa. Ila mimi mwenyewe nilishawahi kukosea kununua kwa mwezi mmoja na sikuwahi kutolewa mimi nipo nje ya dar kabisa nipo mkoa mwingine. Ni hayo tuView attachment 2324119
Shukrani, kama vipi share tu document nzima
 
Mimi huwa napata shida na hizi MITA mpya, Yani kwangu ikifika saa Moja usiku mpaka saa nne kazi Moja umeme unakatika na kuwaka, Kila dakika, kwa majirani zangu wenye MITA tofauti na zangu umeme haukati, Yani ni KERO kero
It's either umeme unashuka sana au unapanda sana. Lakini most likely utakuwa unashuka sana kwa sababu mda huo matumizi ya umeme yako juu na huenda line yako inalemewa, chini ya 180V lazima mita ikate, ukizidi 255V lazima ukate pia.
 
nyumba Hadi nyumba mara kwa mara, wakidai wanakusanya takwimu za mita za luku.
Unaweza kuku kwenye vitabu upo tarrif zero, wakati huku unalipa unit kwa bei ya 350!!! Na hiyo ziada inakwenda kwenye mifuko ya wezi(siwezi kuwaita wajanja ni wezi)!!!
 
Hii wiki imekua Ni vilio kwa watu kila mahali,

Wengi wameondolewa tarrif zero, na Hakuna maelezo ya kueleweka.

Tumezoea ukizidisha matumizi ya unit 70 kwa mwezi, automatically system inakuondoa tariff zero (umeme wa 1,000= unit 8.4)
Kwa sasa unaondolewa tu kwa lazima hata Kama ujazidisha.

Mtu Hana tv Wala redio, anatumia balbu 2 tu na simu kaondolewa tarrif zero. Akitaka kununua umeme UNAGOMA afu anaambiwa "unatakiwa upate key change".

Sijajua ndo ukusanyaji mpya wa mapato ya serikali kwa kulazimisha watu wengi watumie tarrif 4 (umeme wa 1000= unit 2.9) au Kuna kitu kingine pembeni kinaendelea TUFAHAMISHWE.

Kwa maana tangu huu mwezi uanze, vijana wa Tanesco wamekuwa wakipita nyumba Hadi nyumba mara kwa mara, wakidai wanakusanya takwimu za mita za luku.
Vijana wa IMF na World Bank wapo jikoni wanataka hela zao!Au unataka tutoe Mkoa wako kama fidia ya mikopo yao.Tumeanzia hapo.
 
Back
Top Bottom