Kwa sasa nchi nzima iko chini ya udhibiti wa dola, iwe baa ya nyota tano au kilabu cha komoni na chibuku, kijiwe cha boda,.gesti, wako kila kona

Wanashindwaje kutumia nguvu kubwa hivi kwa watekaji?
 
Nchi nzima wapi huko?

Mbona huku lindi hamna kitu
 
Hii ndio wanaita intelligence kubwa? Sasa mikoani wakiamua kuandamana mwezi mzima Itakiwajeeeee?

Hahahah ni hapo mwenyekiti atangaze kesho maandamano nchi nzima nitachekajeeee mweh.

Mwenyekiti kuya huku usome tu balance mambo…

Hivi hawa wanaotumwa kufanya uhalifu wameshindwa kusikia kuna mahali panaitwa The Hague?
 
Ni full scale police state, hata mtu akiandamana chooni, via trca atajulikana
 
Kwa hili hawalaumiki.
 
Ni full scale police state, hata mtu akiandamana chooni, via trca atajulikana
Acha kututisha
Nchi hii sio ya ukoo wa mtu fulani ni yetu sote so msitupangie

Full scale police so what?
Kwendeni hukoooo mnatuchosha

Kwani mmewahi ona huwa kuna uharibifu wowote? Mnaogopa dunia isijue?

Mpaka tulipofika UN na nchi za magharibi wanawazooom. Subiri kikao cha UN utasikia ya East Africa Kenya na Tz to be precisely. Mtasikia kwa sauti kubwa mnoooo


The Hague is loading….
Tutaelewana one day dah
 
Take my words, ni full scale police state, kwani hujui mamlaka wanaweza kuwasha kamera nq maiki ya simu yako hata kama umeizima?

Au wanaweza kuchora ramani ya mizunguko yako ya siku nzima kupitia simu yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…