Wangeanza kupigania hadhi zao kwanza ingefaa.Alafu ukiwakuta bar na sehemu zingine wanatia huruma hawana hela, ni majinga sana yani, rubbish kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangeanza kupigania hadhi zao kwanza ingefaa.Alafu ukiwakuta bar na sehemu zingine wanatia huruma hawana hela, ni majinga sana yani, rubbish kabisa
Kuna mtu kanipigia simu leo anajifanya ananijua. Yeye anasema yuko morogoro, nahsi jf wako wengi sana
hiyo ni Dar tu,Namna hiyo ndio inatakiwa. Waboreshe na Technology tu.. ili ufanisi uwe 200%
Wanashindwaje kutumia nguvu kubwa hivi kwa watekaji?Uwe mwangalifu, siafu wamesambaa kila kona, usimuamini jirani aliyekaa karibu na wewe. Jamaa wako kila uchochoro, wako kila mahali.
Ile nchi ambayo walitaka iingie kazini sasa iko ndani kabisa ya kila mtaa, ndani kabisa ya maisha ya kila mtu. Now, we witness the state doing its job ambayo watu walidhani hawaiwezi.
Watch out. Kila gesti, baa, saloon, kijiwe cha boda, chips,wasap group na kila kitu, dont risk please.
Kila gesti au hotel ina polisi wasiopungua wawili, na kila sehemu kuna mtu
Kumbe wanaweza kutulinda ila wanafanya makusudi hawa wajingaNijileweee nirudi home taratibu na chupa yangu mkononi....ulinzi upooo
Nchi nzima wapi huko?Uwe mwangalifu, siafu wamesambaa kila kona, usimuamini jirani aliyekaa karibu na wewe. Jamaa wako kila uchochoro, wako kila mahali.
Ile nchi ambayo walitaka iingie kazini sasa iko ndani kabisa ya kila mtaa, ndani kabisa ya maisha ya kila mtu. Now, we witness the state doing its job ambayo watu walidhani hawaiwezi.
Watch out. Kila gesti, baa, saloon, kijiwe cha boda, chips,wasap group na kila kitu, dont risk please.
Kila gesti au hotel ina polisi wasiopungua wawili, na kila sehemu kuna mtu
Hii ndio wanaita intelligence kubwa? Sasa mikoani wakiamua kuandamana mwezi mzima Itakiwajeeeee?Uwe mwangalifu, siafu wamesambaa kila kona, usimuamini jirani aliyekaa karibu na wewe. Jamaa wako kila uchochoro, wako kila mahali.
Ile nchi ambayo walitaka iingie kazini sasa iko ndani kabisa ya kila mtaa, ndani kabisa ya maisha ya kila mtu. Now, we witness the state doing its job ambayo watu walidhani hawaiwezi.
Watch out. Kila gesti, baa, saloon, kijiwe cha boda, chips,wasap group na kila kitu, dont risk please.
Kila gesti au hotel ina polisi wasiopungua wawili, na kila sehemu kuna mtu
Ni full scale police state, hata mtu akiandamana chooni, via trca atajulikanaHii ndio wanaita intelligence kubwa? Sasa mikoani wakiamua kuandamana mwezi mzima Itakiwajeeeee?
Hahahah ni hapo mwenyekiti atangaze kesho maandamano nchi nzima nitachekajeeee mweh.
Mwenyekiti kuya huku usome tu balance mambo…
Hivi hawa wanaotumwa kufanya uhalifu wameshindwa kusikia kuna mahali panaitwa The Hague?
Mbowe atakosa bangi ya kuvutaKisa chadema? Wafutilie ma madawa yapo kibao kila kona
Kwa hili hawalaumiki.Uwe mwangalifu, siafu wamesambaa kila kona, usimuamini jirani aliyekaa karibu na wewe. Jamaa wako kila uchochoro, wako kila mahali.
Ile nchi ambayo walitaka iingie kazini sasa iko ndani kabisa ya kila mtaa, ndani kabisa ya maisha ya kila mtu. Now, we witness the state doing its job ambayo watu walidhani hawaiwezi.
Watch out. Kila gesti, baa, saloon, kijiwe cha boda, chips,wasap group na kila kitu, dont risk please.
Kila gesti au hotel ina polisi wasiopungua wawili, na kila sehemu kuna mtu
Acha kututishaNi full scale police state, hata mtu akiandamana chooni, via trca atajulikana
Take my words, ni full scale police state, kwani hujui mamlaka wanaweza kuwasha kamera nq maiki ya simu yako hata kama umeizima?Acha kututisha
Nchi hii sio ya ukoo wa mtu fulani ni yetu sote so msitupangie
Full scale police so what?
Kwendeni hukoooo mnatuchosha
Kwani mmewahi ona huwa kuna uharibifu wowote? Mnaogopa dunia isijue?
Mpaka tulipofika UN na nchi za magharibi wanawazooom. Subiri kikao cha UN utasikia ya East Africa Kenya na Tz to be precisely. Mtasikia kwa sauti kubwa mnoooo
The Hague is loading….
Tutaelewana one day dah