toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
πππππWangeanza kupigania hadhi zao kwanza ingefaa.View attachment 3102089
Samia ameshindwa sana.Uwe mwangalifu, siafu wamesambaa kila kona, usimuamini jirani aliyekaa karibu na wewe. Jamaa wako kila uchochoro, wako kila mahali.
Ile nchi ambayo walitaka iingie kazini sasa iko ndani kabisa ya kila mtaa, ndani kabisa ya maisha ya kila mtu. Now, we witness the state doing its job ambayo watu walidhani hawaiwezi.
Watch out. Kila gesti, baa, saloon, kijiwe cha boda, chips,wasap group na kila kitu, dont risk please.
Kila gesti au hotel ina polisi wasiopungua wawili, na kila sehemu kuna mtu
Ndio ni muhimu Kwa Ajili ya kudhibiti wakorofi woteUwe mwangalifu, siafu wamesambaa kila kona, usimuamini jirani aliyekaa karibu na wewe. Jamaa wako kila uchochoro, wako kila mahali.
Ile nchi ambayo walitaka iingie kazini sasa iko ndani kabisa ya kila mtaa, ndani kabisa ya maisha ya kila mtu. Now, we witness the state doing its job ambayo watu walidhani hawaiwezi.
Watch out. Kila gesti, baa, saloon, kijiwe cha boda, chips,wasap group na kila kitu, dont risk please.
Kila gesti au hotel ina polisi wasiopungua wawili, na kila sehemu kuna mtu
Chadema hawana tofauti na madawa ya kulevya.Kisa chadema? Wafutilie ma madawa yapo kibao kila kona
Samia ameshindwa sana.
Eti kulalamikaπ Kwa hiyo mmepanga maandamano ya kulalamika, bure kabisa. Muulizeni Mbowe vizuri, ni mpango wake wa kuzoa mabwege awazunguushe mitaaniDola ni maroboti au watu kama sisi?
Kuteka na kuua watu siyo threat
Kupiga kelele dhidi ya utekaji na uuaji wa raia ni tishio la amani
Polisi wanahakikisha utekaji na uuaji wa raia unafanyika kwa amani na haturuhusiwi kulalamika
Haramu ya maandamano imekatazwa wapi ktk Katiba?Eti kulalamikaπ Kwa hiyo mmepanga maandamano ya kulalamika, bure kabisa. Muulizeni Mbowe vizuri, ni mpango wake wa kuzoa mabwege awazunguushe mitaani
Mnooo...Kuna jamaa Tena gen zee anasdma hivi walivojaa ingekuwa jirani hapo wangemalizzwa...sio sisi na chibuku zetu!Kumbe wanaweza kutulinda ila wanafanya makusudi hawa wajinga
chawa anaweza kuwa mmoja ila anaweza onekana kama ana meno buku.Kwani Kwa wastani, askari mmoja anahudumia raia wangapi?
Halafu watumishi wa Serikali jumla ni lakini na nusu,
Sasa hao Majeshi hawazidi elfu 30, wananchi ni ml 60,
Sasa huo ulinzi wa kutapakaa Kila Chocho Kila Mahali labda waazime majini pia kushika doria.
Acha vitisho, nguvu ya Dola asili ni wananchi.
Dola virungu iliyooadimika,hatimaye inasakwa.Dollar zipi ,hizi zilizo hadimika?
ππππnimetumiwa message pia na mtu anajiweka mtejaKuna mtu kanipigia simu leo anajifanya ananijua. Yeye anasema yuko morogoro, nahsi jf wako wengi sana
Venye unaongea hujui hata unaongea nn π ndo maana nasema hii nchi naweza support kama serikali ni ya kijeshi tu maana serikali za kiraia zingine za vibaraka zingine wapigaji tu kuna watoto hawana ada za shule vijijini huko hata uwape 10,000 wqnaona maisha ndo washajipata ila kuna timu zinapokea mamilion kushinda magoal inaumuhimu upi kama ni motivation mbna daily simba na yanga wapo wap azam na coastal? Hazijawqmotivate kwan? Kwann wasipangie hizo pesa per win inauma vijana wako mitaani wanatapatapa kuna watu wako wanagusa kodi za raia kizembe for on my way to Burkina FasoAcha kututisha
Nchi hii sio ya ukoo wa mtu fulani ni yetu sote so msitupangie
Full scale police so what?
Kwendeni hukoooo mnatuchosha
Kwani mmewahi ona huwa kuna uharibifu wowote? Mnaogopa dunia isijue?
Mpaka tulipofika UN na nchi za magharibi wanawazooom. Subiri kikao cha UN utasikia ya East Africa Kenya na Tz to be precisely. Mtasikia kwa sauti kubwa mnoooo
The Hague is loadingβ¦.
Tutaelewana one day dah
Wachore waandike Sisi nasi tuna akili kuwa Sisi. Msitufanye wajingaTake my words, ni full scale police state, kwani hujui mamlaka wanaweza kuwasha kamera nq maiki ya simu yako hata kama umeizima?
Au wanaweza kuchora ramani ya mizunguko yako ya siku nzima kupitia simu yako?
Acha matusi, jiheshimu. Kizazi kibaya kuwahi kutokea kwenye hii safari.Hili bao lilifanya ukazaliwa bora lingepigwa nyeto chooni watu wakalikojolea na kulinyea
Rip chacha wangweMatumizi mabaya ya akili, na matumizi sahihi ya Nguvu kwakua hawajawahi kutumia Akili.
Uhai wa Binadamu sio mnyama, ukishaua kubali kupigwa Kila Kona .
Mzee Kibao ,kachukuliwa na Jeshi la Polisi, kauwawa na Jeshi la Polisi.
Alinachaβ¦. Keyboard warriors huwa mna mikwara sanaβ¦.. kwa ground ni tofautiWachore waandike Sisi nasi tuna akili kuwa Sisi. Msitufanye wajinga
Maandamano nchi nzima hahahhh Wajinga ndio waliwao
Mmekuja darisalama sie tumerudi mikoani mpaka tuelewane tu.
Mwezi mzima ujue mrefu.
Mwenyekiti uko vizuri
Waache waandamane wao dari salama dammitt!