Kwa sasa nchi nzima iko chini ya udhibiti wa dola, iwe baa ya nyota tano au kilabu cha komoni na chibuku, kijiwe cha boda,.gesti, wako kila kona

Kwa sasa nchi nzima iko chini ya udhibiti wa dola, iwe baa ya nyota tano au kilabu cha komoni na chibuku, kijiwe cha boda,.gesti, wako kila kona

Uwe mwangalifu, siafu wamesambaa kila kona, usimuamini jirani aliyekaa karibu na wewe. Jamaa wako kila uchochoro, wako kila mahali.

Ile nchi ambayo walitaka iingie kazini sasa iko ndani kabisa ya kila mtaa, ndani kabisa ya maisha ya kila mtu. Now, we witness the state doing its job ambayo watu walidhani hawaiwezi.

Watch out. Kila gesti, baa, saloon, kijiwe cha boda, chips,wasap group na kila kitu, dont risk please.

Kila gesti au hotel ina polisi wasiopungua wawili, na kila sehemu kuna mtu
Samia ameshindwa sana.
 
Ndio ni muhimu Kwa Ajili ya kudhibiti wakorofi wote
 
Si kitu cha kushangaza! Wala hayo hayakuanza leo.
Ndiyo sifa ya Serikali yo yote duniani ya kidikteta.
Kutojiamini!
 
Dola ni maroboti au watu kama sisi?
Kuteka na kuua watu siyo threat
Kupiga kelele dhidi ya utekaji na uuaji wa raia ni tishio la amani

Polisi wanahakikisha utekaji na uuaji wa raia unafanyika kwa amani na haturuhusiwi kulalamika
Eti kulalamika😃 Kwa hiyo mmepanga maandamano ya kulalamika, bure kabisa. Muulizeni Mbowe vizuri, ni mpango wake wa kuzoa mabwege awazunguushe mitaani
 
Kwani Kwa wastani, askari mmoja anahudumia raia wangapi?

Halafu watumishi wa Serikali jumla ni lakini na nusu,

Sasa hao Majeshi hawazidi elfu 30, wananchi ni ml 60,

Sasa huo ulinzi wa kutapakaa Kila Chocho Kila Mahali labda waazime majini pia kushika doria.

Acha vitisho, nguvu ya Dola asili ni wananchi.
chawa anaweza kuwa mmoja ila anaweza onekana kama ana meno buku.
 
Acha kututisha
Nchi hii sio ya ukoo wa mtu fulani ni yetu sote so msitupangie

Full scale police so what?
Kwendeni hukoooo mnatuchosha

Kwani mmewahi ona huwa kuna uharibifu wowote? Mnaogopa dunia isijue?

Mpaka tulipofika UN na nchi za magharibi wanawazooom. Subiri kikao cha UN utasikia ya East Africa Kenya na Tz to be precisely. Mtasikia kwa sauti kubwa mnoooo

The Hague is loading….
Tutaelewana one day dah
Venye unaongea hujui hata unaongea nn 😄 ndo maana nasema hii nchi naweza support kama serikali ni ya kijeshi tu maana serikali za kiraia zingine za vibaraka zingine wapigaji tu kuna watoto hawana ada za shule vijijini huko hata uwape 10,000 wqnaona maisha ndo washajipata ila kuna timu zinapokea mamilion kushinda magoal inaumuhimu upi kama ni motivation mbna daily simba na yanga wapo wap azam na coastal? Hazijawqmotivate kwan? Kwann wasipangie hizo pesa per win inauma vijana wako mitaani wanatapatapa kuna watu wako wanagusa kodi za raia kizembe for on my way to Burkina Faso
 
Take my words, ni full scale police state, kwani hujui mamlaka wanaweza kuwasha kamera nq maiki ya simu yako hata kama umeizima?

Au wanaweza kuchora ramani ya mizunguko yako ya siku nzima kupitia simu yako?
Wachore waandike Sisi nasi tuna akili kuwa Sisi. Msitufanye wajinga
Maandamano nchi nzima hahahhh Wajinga ndio waliwao
Mmekuja darisalama sie tumerudi mikoani mpaka tuelewane tu.

Mwezi mzima ujue mrefu.
Mwenyekiti uko vizuri
Waache waandamane wao dari salama dammitt!
 
Matumizi mabaya ya akili, na matumizi sahihi ya Nguvu kwakua hawajawahi kutumia Akili.

Uhai wa Binadamu sio mnyama, ukishaua kubali kupigwa Kila Kona .

Mzee Kibao ,kachukuliwa na Jeshi la Polisi, kauwawa na Jeshi la Polisi.
Rip chacha wangwe
 
weka ugoko ukutane na chuma!
hii ni kwa wale wenye D 3 tu.
 
Wachore waandike Sisi nasi tuna akili kuwa Sisi. Msitufanye wajinga
Maandamano nchi nzima hahahhh Wajinga ndio waliwao
Mmekuja darisalama sie tumerudi mikoani mpaka tuelewane tu.

Mwezi mzima ujue mrefu.
Mwenyekiti uko vizuri
Waache waandamane wao dari salama dammitt!
Alinacha…. Keyboard warriors huwa mna mikwara sana….. kwa ground ni tofauti
 
Uzuri wa uzi kama huu, unawezesha kupima kiwango cha ujinga hata kwa watu unaofikiri kuwa ni watu makini.
 
Back
Top Bottom