Jamani IT,sio programmers pekee, japo huko ndiko chimbuko la kila information technology. Networking, database, AI etc
Mleta Uzi , Kuna jambo ulitaka ku propose,
Mimi nilikuwa nafikiri kuwe na online platform ya ma IT, wa bongo.
Kwa ajili ya display ya bunifu zao, ikilenga sekta mbalimbali kama afya, nishati safi, anga za mbali, kilimo, military.
Kupitia show reel ya project zao na description kwenye hiyo platform, ita wasaidia kupata ufadhili na hati miliki ya bunifu zao , pia itasaidi kuziendeleza projects zao