Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TCRA,Vodacom,NMB wanafanya sana hii kila mwaka vijana wanachukuliwa go there au ziwe site zako zakuperuzi km unakipaji watakuchukua tu na utajua mengi sanaJamani IT,sio programmers pekee, japo huko ndiko chimbuko la kila information technology. Networking, database, AI etc
Mleta Uzi , Kuna jambo ulitaka ku propose,
Mimi nilikuwa nafikiri kuwe na online platform ya ma IT, wa bongo.
Kwa ajili ya display ya bunifu zao, ikilenga sekta mbalimbali kama afya, nishati safi, anga za mbali, kilimo, military.
Kupitia show reel ya project zao na description kwenye hiyo platform, ita wasaidia kupata ufadhili na hati miliki ya bunifu zao , pia itasaidi kuziendeleza projects zao