Kwa sasa nchini Tanzania tuna watu wazuri katika IT au tunaweza kuziita computer issues

Kwenye theory wapo 90% ila wanaojua anachozungumza kwa vitendo ni 5%, kuna kijana mmoja aliniambia yupo mwaka wa pili anasoma computer,nikamuuliza unataka kua nani akaniambia programmer nikamwambia kuna mtu anataka website umtengenezee,hela ipo mnaelewana kabisa,aliishia kutoa macho tu,nikauchukua mwenyewe only two days nikakabidhi phase 1 ya site,kwakua nafanya ucku pekee after my personal stuff
 
Shida kubwa programer wengi wabongo ni matapeli nazani hili jukwaa halikupaswa kabisa kuwekewa thread pale juu kuhusu kutoa tahadhari kuhusu jukwaa hili ila ni sababu watu kibao wameshapigwa
 
Jamani IT,sio programmers pekee, japo huko ndiko chimbuko la kila information technology. Networking, database, AI etc

Mleta Uzi , Kuna jambo ulitaka ku propose,

Mimi nilikuwa nafikiri kuwe na online platform ya ma IT, wa bongo.
Kwa ajili ya display ya bunifu zao, ikilenga sekta mbalimbali kama afya, nishati safi, anga za mbali, kilimo, military.

Kupitia show reel ya project zao na description kwenye hiyo platform, ita wasaidia kupata ufadhili na hati miliki ya bunifu zao , pia itasaidi kuziendeleza projects zao
 
TCRA,Vodacom,NMB wanafanya sana hii kila mwaka vijana wanachukuliwa go there au ziwe site zako zakuperuzi km unakipaji watakuchukua tu na utajua mengi sana
 
Back
Top Bottom