Kwa sasa Neno ugaidi limeingia rasmi kusibitisha kisasi cha wanzanzibar na raisi samia.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Bila kujua watanganyika sasa mtaitwa wote magaidi kama mlivyo wafanyia wajomba zake wale uhamusho.

Hii ni visasi na sio vya kusema anaficha ni kwamba anaonuesha wazi wazi kuwa kinacho fata ni kufuta Tanganyika.

Msipo nielewa leo mtanielewa kesho.Tanganyika inafutwa kwa yoyote mwenye kuhoji ni gaidi.

Nyie endeleeni kubisha .Kuna mada hapa JF nilisema kuhusu alipopata uraisi baada ya kifo cha JP ,Oman alikwenda kufata nini kwa wajomba.

Kumba omani ilitolewa kwa nguvu znz na mwisho wa siku ndio tunaenda kwenye yale ukizani kama bado hupo nchi yako kumbe upo kama anavyofanya urusi kwa Ukraine.

Wazi kabisa hii mada wekeni pini.

JWTZ msipo fanya mabadiliko na polisi msilaumu watoto wenu.
 
Hapana, ni njama za watawala kutaka mtu asipewe dhamana, km Magufuli alipokua na uhujumu uchumi na wa tz waliteseka pia
 
mmeona sasa ugaidi unavyotamkwa na kubambikizwa kwa watu? Hivyo hivyo US EU na washirika wake ndivyo hubambikia watu. One coin one side
 
Bila kujua watanganyika sasa mtaitwa wote magaidi kama mlivyo wafanyia wajomba zake wale uhamusho.

Hii ni visasi na sio vya kusema anaficha ni kwamba anaonuesha wazi wazi kuwa kinacho fata ni kufuta Tanganyika.

Msipo nielewa leo mtanielewa kesho.Tanganyika inafutwa kwa yoyote mwenye kuhoji ni gaidi.

Nyie endeleeni kubisha .Kuna mada hapa JF nilisema kuhusu alipopata uraisi baada ya kifo cha JP ,Oman alikwenda kufata nini kwa wajomba.

Kumba omani ilitolewa kwa nguvu znz na mwisho wa siku ndio tunaenda kwenye yale ukizani kama bado hupo nchi yako kumbe upo kama anavyofanya urusi kwa Ukraine.

Wazi kabisa hii mada wekeni pini.

JWTZ msipo fanya mabadiliko na polisi msilaumu watoto wenu.
Kinachokwamisha nchi isikombolewe ni hawa masheikh ubwabwa.

Wapo radhi kuwa upande wa mzanzibari kisa muislamu mwenzao kuliko kuwa upande wa mtanganyika.
 
I know Tanzania intelligence have been acting impudently but they can't act impudently to allow this woman to destroy this country to the ashes

I know they are playing with script as how they did with JPM

Anyways this doesn't remove the fact that they are avidly cowards
 
Back
Top Bottom