Kwa sasa ngono imepungua mvuto

Kwa sasa ngono imepungua mvuto

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,436
Wakuu ni ukweli usiopingika kua ngono kwa sasa imepungua kidogo mvuto ajili ya urahisi wa upatikanaji wake, zamani ule ugum wa upatikanaji wake ulilifanya tendo la ngono kua la pekee sana na hata lilipofanyika mwili ulibaki na feedback ya tendo lile ndani ya siku2-3 tofauti na sasa ambapo mda mfupi baada ya tendo wahusika husahau kila kitu.

Je, kwa mtizamo wako ni kipi kifanyike kurejesha huo mvuto ulopungua?
 
Mkuu wewe ndo umebadilika...kwa vijana wa sasa hali ni ile ile ambayo wewe ulikuwa nayo enzi hizo.

Kadri unavyo kuwa mkubwa inakuwa rahisi kupata mwanamke wa kutoka naye. Lwa sababu mbalimbali kama kipato kuongezeka, uhuru kuongezeka lakini vile vile wigo kuongezeka. Unapo kuwa kijana mdogo mara nyingi unawinda wasichana wa rika lako au wadogo kidogo ambao ni upatikanaji wake ni shida. Lakini pia una vizia vi geto vya washkaji. Huwezi kutokea watu wazima maana watakwambia wewe mtoto una laana.

Lakini kadri umri unavyoongezeka unakuwa na wigo woote wa rika lako na chini...lakini pia kuna umri ukifika unakuwa na leseni ya kuendesha mzigo wowote.
 
[emoji23]we jamaa bana,hii ndio comment bora ya siku ya Leo
 
Sio imepungua vitu iko vilevile sema umekua Sasa na nguvu za kiume zimepungua na aliyekwambia zilikuwa hazipatikani Nani, hapa duniani hamna jipya yote ya zamani tangia Mambo ya sodoma mpaka leo, so nothing new Ni vile tecnologia imekua basi
 
Hakuna suluhu maana ni ngumu kushindana na Technologia. Btw nipo zangu badoo hapa naplace oder now [emoji2][emoji2]
right, mchawi wetu ni technolojia bt je hatuna option yoyote yakupata suluhu?
 
Sio imepungua vitu iko vilevile sema umekua Sasa na nguvu za kiume zimepungua na aliyekwambia zilikuwa hazipatikani Nani, hapa duniani hamna jipya yote ya zamani tangia Mambo ya sodoma mpaka leo, so nothing new Ni vile tecnologia imekua basi
mkuu huu ni mtizamo wako japo hauakisi uhalisia, yaani siku za nyuma ke unampeleka gheto bt kuja kula mzigo inakua shughuli bt saivi mkifika tu anachanua shughuli inaendelea, mi kwa jicho langu naona kabisa kuna mvuto umepungua.
 
Hivi ule uzi wa kula tunda kimasihara umeenda wapi?
Nina muda sana sijauona wadau,tafadhali anayeuona anirushie link hapa.
 
Mkuu wewe ndo umebadilika...kwa vijana wa sasa hali ni ile ile ambayo wewe ulikuwa nayo enzi hizo.

Kadri unavyo kuwa mkubwa inakuwa rahisi kupata mwanamke wa kutoka naye. Lwa sababu mbalimbali kama kipato kuongezeka, uhuru kuongezeka lakini vile vile wigo kuongezeka. Unapo kuwa kijana mdogo mara nyingi unawinda wasichana wa rika lako au wadogo kidogo ambao ni upatikanaji wake ni shida. Lakini pia una vizia vi geto vya washkaji. Huwezi kutokea watu wazima maana watakwambia wewe mtoto una laana.

Lakini kadri umri unavyoongezeka unakuwa na wigo woote wa rika lako na chini...lakini pia kuna umri ukifika unakuwa na leseni ya kuendesha mzigo wowote.
mkuu usisingizie umri, kama zama hizi bado unahangaika kupata nyapu ujue we ni domo zege mzuri, wadada wa umri wowote zama hizi wapo open sana.
 
Inategemea NTU na NTU Mkuu.

Wakuu ni ukweli usiopingika kua ngono kwa sasa imepungua kidogo mvuto ajili ya urahisi wa upatikanaji wake, zamani ule ugum wa upatikanaji wake ulilifanya tendo la ngono kua la pekee sana na hata lilipofanyika mwili ulibaki na feedback ya tendo lile ndani ya siku2-3 tofauti na sasa ambapo mda mfupi baada ya tendo wahusika husahau kila kitu.

Je kwa mtizamo wako ni kipi kifanyike kurejesha huo mvuto ulopungua?
 
Achazako wewe na sisi form three D mbona tutakuamini vipi.
 
Back
Top Bottom