- Thread starter
- #21
right bt tofauti ya mitizamo hua haithiri uhalisia wa jamboUlichoandika kinatofautiana kati ya NTU na NTU si wote wanakubaliana na hitimisho lako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
right bt tofauti ya mitizamo hua haithiri uhalisia wa jamboUlichoandika kinatofautiana kati ya NTU na NTU si wote wanakubaliana na hitimisho lako.
Thanks. Unajua mara nyingi tunakosea...tunasema zamani ilikuwa hivi ilikuwa vile...bila kuangalia mabadiliko ambayo sisi tumeyapata. Mtu aliyeanza kula nyuchi kuanzia 1990, excitement yange huwezi kulinganisha na aliye anza kula nyuchi 2019.[emoji23]we jamaa bana,hii ndio comment bora ya siku ya Leo
laiti ungetulizana nadhani ungeandika vizuri ukaeleweka mkuuAchazako wewe na sisi form three D mbona tutakuamini vipi.
Iwhevw8wvwctaiwbegehevey wiwgwv27wywvef wuey2v2c38egve2iu3v3ueheuev3 wieh3cwgoehe8whauahhhwu8eevejwowlaiti ungetulizana nadhani ungeandika vizuri ukaeleweka mkuu
right bt tofauti ya mitizamo hua haithiri uhalisia wa jambo
ahsante kwa kucoment nje ya mada.Kula vizuri ,tanya mazoez kunywa maji mengi punguza au acha puri. ile kitu haichoshi rasta
mkuu utafiti gani unaoutaka? shida kubwa yetu waafrika huamin zaidi tafiti za wazungu as if zinatoka mbinguni akati nao wanazifanya kwa kutumia akili kama sisi tuMkuu uhalisia wa jambo bila ya kuwepo utafiti wa kina!?
Sio kwa post hiiSio imepungua vitu iko vilevile sema umekua Sasa na nguvu za kiume zimepungua na aliyekwambia zilikuwa hazipatikani Nani, hapa duniani hamna jipya yote ya zamani tangia Mambo ya sodoma mpaka leo, so nothing new Ni vile tecnologia imekua basi
Samahani mkuu, hiyo avatar ndio wewe...[emoji848]Naunga mkono hoja.
mkuu utafiti gani unaoutaka? shida kubwa yetu waafrika huamin zaidi tafiti za wazungu as if zinatoka mbinguni akati nao wanazifanya kwa kutumia akili kama sisi tu
mkuu mbona tafiti nyingi tu zenye mahitimisho hupingwa? kukinzana kwa mitizamo ni nature ya ubinadam ambayo huchochea ham yakujua zaidi.Sasa utahitimishaje kwa maneno tu kwamba ngono siku hizi imekosa mvuto wakati huna concrete evidence to support your argument?
Akija mwingine naye hana utafiti akisema siku hizi mvuto wa ngono umeongezeka sana. Nani wa kumuamini katika hawa wawili wenye mahitimisho tofauti?
right tena uzembe wenyewe uwe umepitiliza kwenye viwango vya uzembe.Siku hizi ukilala na genye Ni uzembe wako tu
right tena uzembe wenyewe uwe umepitiliza kwenye viwango vya uzembe.Siku hizi ukilala na genye Ni uzembe wako tu
mkuu mbona tafiti nyingi tu zenye mahitimisho hupingwa? kukinzana kwa mitizamo ni nature ya ubinadam ambayo huchochea ham yakujua zaidi.
Kwa ulivyoandika tu ,naweza kadiria umri wako ni 50's kelekea 60 hapo kwanza testosterone imeshuka kwa kiwango kikubwa mno ushauri wangu tulia na bi mkubwa hapo homemkuu huu ni mtizamo wako japo hauakisi uhalisia, yaani siku za nyuma ke unampeleka gheto bt kuja kula mzigo inakua shughuli bt saivi mkifika tu anachanua shughuli inaendelea, mi kwa jicho langu naona kabisa kuna mvuto umepungua.
right, ucheap wa ngono ndo umeifanya ipungue mvuto japo wengine wanapnganaunga mkono hoja zamni nikiwa mdogo kuna demu alikuwa anagawa tako anavaa shanga mguuuni gari zilikuwa zinatoka mbali zinapanga hadi foleni watu wanamfukuzia ikawa story kwamba anafanya mambo ya mombasa watu wanamshangaa
leo nani anashangaa issue za mpalange,sex imekuwa cheap,week iliyopita niko bar jamaa na mwanamke wameingia chooni wakafanya yao wamerudi kwenye meza mwanamke story kama zote wala hajali
zamani angeona aibu hata angekimbia eneo hilo,leo mtu kutembea na mama,binti,shangazi,ma mdogo bibi siyo ajabu na wote wanajuana ili mradi wanapewa hela
mkuu hata utafiti ni maneno, bora hata ungenambia sijafuata procedure hadi nikapata hitimisho, pia mimi sijafanya utafiti wa kitaaluma ambao unahitaji process yakufuata procedure, mi nimefanya local research na nikaamua kushare hapa kama mtizamoTafiti hupingwa kwa TAFITI Mkuu si kwa maneno matupu. Katika Nchi yenye idadi ya watu inayokaribia milioni 60 huwezi ukatoa hitimisho bila kutuonyesha utafiti wako uliufanya lini na katika mikoa ipi na ukubwa wa sample yako ulikuwa upi. Vinginevyo hitimisho lako halina nguvu yeyote ile ya kukubaliwa.