Tubuni na kuiamini injiliTubuni na kuiamini injili
hii ni njia nzuri bt haiwezi tumika na watu woteTubuni na kuiamini injili
unga pia mawazo ili tupate suluhuNaunga mkono hoja.
Mkuu wewe ndo umebadilika...kwa vijana wa sasa hali ni ile ile ambayo wewe ulikuwa nayo enzi hizo.
Kadri unavyo kuwa mkubwa inakuwa rahisi kupata mwanamke wa kutoka naye. Lwa sababu mbalimbali kama kipato kuongezeka, uhuru kuongezeka lakini vile vile wigo kuongezeka. Unapo kuwa kijana mdogo mara nyingi unawinda wasichana wa rika lako au wadogo kidogo ambao ni upatikanaji wake ni shida. Lakini pia una vizia vi geto vya washkaji. Huwezi kutokea watu wazima maana watakwambia wewe mtoto una laana.
Lakini kadri umri unavyoongezeka unakuwa na wigo woote wa rika lako na chini...lakini pia kuna umri ukifika unakuwa na leseni ya kuendesha mzigo wowote.
so tufanyaje kupata suluhu mkuuKila kitu kikizidi huwa kuna matokeo yake.
Hakuna suluhu maana ni ngumu kushindana na Technologia. Btw nipo zangu badoo hapa naplace oder now [emoji2][emoji2]unga pia mawazo ili tupate suluhu
right, mchawi wetu ni technolojia bt je hatuna option yoyote yakupata suluhu?Hakuna suluhu maana ni ngumu kushindana na Technologia. Btw nipo zangu badoo hapa naplace oder now [emoji2][emoji2]
mkuu huu ni mtizamo wako japo hauakisi uhalisia, yaani siku za nyuma ke unampeleka gheto bt kuja kula mzigo inakua shughuli bt saivi mkifika tu anachanua shughuli inaendelea, mi kwa jicho langu naona kabisa kuna mvuto umepungua.Sio imepungua vitu iko vilevile sema umekua Sasa na nguvu za kiume zimepungua na aliyekwambia zilikuwa hazipatikani Nani, hapa duniani hamna jipya yote ya zamani tangia Mambo ya sodoma mpaka leo, so nothing new Ni vile tecnologia imekua basi
mkuu usisingizie umri, kama zama hizi bado unahangaika kupata nyapu ujue we ni domo zege mzuri, wadada wa umri wowote zama hizi wapo open sana.Mkuu wewe ndo umebadilika...kwa vijana wa sasa hali ni ile ile ambayo wewe ulikuwa nayo enzi hizo.
Kadri unavyo kuwa mkubwa inakuwa rahisi kupata mwanamke wa kutoka naye. Lwa sababu mbalimbali kama kipato kuongezeka, uhuru kuongezeka lakini vile vile wigo kuongezeka. Unapo kuwa kijana mdogo mara nyingi unawinda wasichana wa rika lako au wadogo kidogo ambao ni upatikanaji wake ni shida. Lakini pia una vizia vi geto vya washkaji. Huwezi kutokea watu wazima maana watakwambia wewe mtoto una laana.
Lakini kadri umri unavyoongezeka unakuwa na wigo woote wa rika lako na chini...lakini pia kuna umri ukifika unakuwa na leseni ya kuendesha mzigo wowote.
Wakuu ni ukweli usiopingika kua ngono kwa sasa imepungua kidogo mvuto ajili ya urahisi wa upatikanaji wake, zamani ule ugum wa upatikanaji wake ulilifanya tendo la ngono kua la pekee sana na hata lilipofanyika mwili ulibaki na feedback ya tendo lile ndani ya siku2-3 tofauti na sasa ambapo mda mfupi baada ya tendo wahusika husahau kila kitu.
Je kwa mtizamo wako ni kipi kifanyike kurejesha huo mvuto ulopungua?
fafanua kwa faida ya wajumbe wote.Inategemea NTU na NTU Mkuu.
fafanua kwa faida ya wajumbe wote.