- Thread starter
- #121
Dar nimewekeza Zaidi!Umewekeza Dodoma wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dar nimewekeza Zaidi!Umewekeza Dodoma wewe.
Dar nimewekeza Zaidi!
Viongozi wanafuata machangu wao pale Sinza na Kijitonyama.Yaani kwa sasa ni nadra sana kuwakuta hawa viongozi wapo Dodoma makao makuu - wote imekuwa ni njia moko Dar - Magari yenye bendera za Mawaziri na Watendaji wengine wa Serikali wamerudi Dar kwa kasi kubwa mno. Yaani haipiti saa tatu ukiwa Morogoro kila siku unaona gari la kiongizo liko spidi kutoka au kwenda Dar na Dodoma. Matrafiki siku hizi hawana hata mpango wa kuyasimamisha tena. Wamechoka wanaangalia tu.
Gharama hizo za magari kukimbia njia ya Dar Dom ninaona ni kuwa mno kiasi kwamba angekuwepo Mwendazake isingekuwa hivi - wengine hadi juzi wamediriki kuamua kurudisha Ofisi zao Dar - Waziri yule kaitoa Ofisi Moro kuipeleka Dar badala ya Dodoma. Ninamkumbuka sana Mwendazake jamani!
Hivi leo hii tukiitisha roll call ya Viongozi Dodoma ni Mawaziri na Wanaibu Waziri na Makatibu Wakuu wangapi watakuwepo Dodoma leo?
Kumbuka juzi tu karibu wote walikuwa Dar kwa Sabasaba - leo Ijumaa tayari wanne wamepanga ndege na kuna magari zaidi ya 6 yanaelekea Dar now bila hata sababu yeyote. Pumzika kwa Amani Mwendazake! Tumekumiss sana sana!
Inawezekana wana shughuli za kikazi Dar es salaam ndio maana wanaelekea huko.Yaani kwa sasa ni nadra sana kuwakuta hawa viongozi wapo Dodoma makao makuu - wote imekuwa ni njia moko Dar - Magari yenye bendera za Mawaziri na Watendaji wengine wa Serikali wamerudi Dar kwa kasi kubwa mno. Yaani haipiti saa tatu ukiwa Morogoro kila siku unaona gari la kiongizo liko spidi kutoka au kwenda Dar na Dodoma. Matrafiki siku hizi hawana hata mpango wa kuyasimamisha tena. Wamechoka wanaangalia tu.
Gharama hizo za magari kukimbia njia ya Dar Dom ninaona ni kuwa mno kiasi kwamba angekuwepo Mwendazake isingekuwa hivi - wengine hadi juzi wamediriki kuamua kurudisha Ofisi zao Dar - Waziri yule kaitoa Ofisi Moro kuipeleka Dar badala ya Dodoma. Ninamkumbuka sana Mwendazake jamani!
Hivi leo hii tukiitisha roll call ya Viongozi Dodoma ni Mawaziri na Wanaibu Waziri na Makatibu Wakuu wangapi watakuwepo Dodoma leo?
Kumbuka juzi tu karibu wote walikuwa Dar kwa Sabasaba - leo Ijumaa tayari wanne wamepanga ndege na kuna magari zaidi ya 6 yanaelekea Dar now bila hata sababu yeyote. Pumzika kwa Amani Mwendazake! Tumekumiss sana sana!
Kidogo kidogo na Ofisi zao walizoziacha Dar zitaanza kurudiwa!Inawezekana wana shughuli za kikazi Dar es salaam ndio maana wanaelekea huko.
Walipa kodi tunaumia sana.Haya ni matumizi mabaya ya rsilimali zetu ndogo. Hatutaweza kufanya kazi za maendeleo kama hela yote inalipia masurufu ya watu kuja na kwenda Dar.Yaani kwa sasa ni nadra sana kuwakuta hawa viongozi wapo Dodoma makao makuu - wote imekuwa ni njia moko Dar - Magari yenye bendera za Mawaziri na Watendaji wengine wa Serikali wamerudi Dar kwa kasi kubwa mno. Yaani haipiti saa tatu ukiwa Morogoro kila siku unaona gari la kiongizo liko spidi kutoka au kwenda Dar na Dodoma. Matrafiki siku hizi hawana hata mpango wa kuyasimamisha tena. Wamechoka wanaangalia tu.
Gharama hizo za magari kukimbia njia ya Dar Dom ninaona ni kuwa mno kiasi kwamba angekuwepo Mwendazake isingekuwa hivi - wengine hadi juzi wamediriki kuamua kurudisha Ofisi zao Dar - Waziri yule kaitoa Ofisi Moro kuipeleka Dar badala ya Dodoma. Ninamkumbuka sana Mwendazake jamani!
Hivi leo hii tukiitisha roll call ya Viongozi Dodoma ni Mawaziri na Wanaibu Waziri na Makatibu Wakuu wangapi watakuwepo Dodoma leo?
Kumbuka juzi tu karibu wote walikuwa Dar kwa Sabasaba - leo Ijumaa tayari wanne wamepanga ndege na kuna magari zaidi ya 6 yanaelekea Dar now bila hata sababu yeyote. Pumzika kwa Amani Mwendazake! Tumekumiss sana sana!
Unawazungumzia nani hao?Muda wote wapo safarini hakuna la maana wanafanya
Tulia mkuuUnawazungumzia nani hao?
Atulize manyanga!Tulia mkuu
Na hawa ndiyo watachelewesha Jiji la Dodoma kukua!Walipa kodi tunaumia sana.Haya ni matumizi mabaya ya rsilimali zetu ndogo. Hatutaweza kufanya kazi za maendeleo kama hela yote inalipia masurufu ya watu kuja na kwenda Dar.
Kuna sababu ya kuanza kutumia mifumo ya tehama kupunguza hii mikutano ambayo imegeuzwa chanzo cha mapato na tunalipa walipa kodi
YapAtulize manyanga!
.........ndiyo madhara ya one Man show...walikuwa wanaishi kinafiki tu...Dodoma hakueleweki hakuna mishe wala mwelekeo ...bora warudi kimya kimya mjini...ndiyo maana huwezi kukutana na mzungu anayejielewa au reputable international figure ndani ya DodomaYaani kwa sasa ni nadra sana kuwakuta hawa viongozi wapo Dodoma makao makuu - wote imekuwa ni njia moko Dar - Magari yenye bendera za Mawaziri na Watendaji wengine wa Serikali wamerudi Dar kwa kasi kubwa mno. Yaani haipiti saa tatu ukiwa Morogoro kila siku unaona gari la kiongizo liko spidi kutoka au kwenda Dar na Dodoma. Matrafiki siku hizi hawana hata mpango wa kuyasimamisha tena. Wamechoka wanaangalia tu.
Gharama hizo za magari kukimbia njia ya Dar Dom ninaona ni kuwa mno kiasi kwamba angekuwepo Mwendazake isingekuwa hivi - wengine hadi juzi wamediriki kuamua kurudisha Ofisi zao Dar - Waziri yule kaitoa Ofisi Moro kuipeleka Dar badala ya Dodoma. Ninamkumbuka sana Mwendazake jamani!
Hivi leo hii tukiitisha roll call ya Viongozi Dodoma ni Mawaziri na Wanaibu Waziri na Makatibu Wakuu wangapi watakuwepo Dodoma leo?
Kumbuka juzi tu karibu wote walikuwa Dar kwa Sabasaba - leo Ijumaa tayari wanne wamepanga ndege na kuna magari zaidi ya 6 yanaelekea Dar now bila hata
Likue kwani kuna nini huko zaidi ya kuchoma pesa. Cha msingi ofisi ziwe x 2 dar na dom. Dar ni jiki kuu la biashara(Pesa na uchumi) Dodoma ni kwa ni jiji la siasa. Ndugai na Mangula- (Bunge na CCM ) mbona hata baba wa Taifa muasisi wa wazo hilo mbona baada ya tafakuri aliachana na wazo hilo. Utalimaje shamba ambalo huvuni. Dodoma waachiwe ndugai na mangula. Tutakuwa huko kwa wakati maalum tu. Msimuone baba wa taifa alikuwa hana akili!! Mtaona hata hiyo Stiglers gorge kama itakuwa na manufaa. Alipata waxo hilo akafanya upembuzi yakinifu akaachana na mradi huo akajenga Mtera, Kidatu, Kihansi, nyumba ya Mungu na pale Tanga. Yule mzee was Geneous siyo huyo shetani wa kurukia mawazo ya watu na kugeuza nchi yake. Mungu hahadaiwi kamwondolea mbali wana wake wafaidi mema ya nchi.Na hawa ndiyo watachelewesha Jiji la Dodoma kukua!
o zaidi ya kuchoma pesa. Cha msingi ofisi ziwe x 2 dar na dom. Dar ni jiki kuu la biashara(Pesa na uchumi) Dodoma ni kwa ni jiji la siasa. Ndugai na Mangula- (Bunge na CCM ) mbona hata baba wa Taifa muasisi wa wazo hilo mbona baada ya tafakuri aliachana na wazo hilo. Utalimaje shamba ambalo huvuni. Dodoma waachiwe ndugai na mangula. Tutakuwa huko kwa wakati maalum tu. Msimuone baba wa taifa alikuwa hana akili!! Mtaona hata hiyo Stiglers gorge kama itakuwa na manufaa. Alipata waxo hilo akafanya upembuzi yakinifu akaachana na mradi huo akajenga Mtera, Kidatu, Kihansi, nyumba ya Mungu na pale Kwale Tanga. Yule mzee was Geneous siyo huyo shetani wa kurukia mawazo ya watu na kugeuza nchi yake. Mungu hahadaiwi kamwondolea mbali wana wake wafaidi mema ya nchi.Likue kwani kuna nini huko zaidi ya kuchoma pesa. Cha msingi ofisi ziwe x 2 dar na dom. Dar ni jiki kuu la biashara(Pesa na uchumi) Dodoma ni kwa ni jiji la siasa. Ndugai na Mangula- (Bunge na CCM ) mbona hata baba wa Taifa muasisi wa wazo hilo mbona baada ya tafakuri aliachana na wazo hilo. Utalimaje shamba ambalo huvuni. Dodoma waachiwe ndugai na mangula. Tutakuwa huko kwa wakati maalum tu. Msimuone baba wa taifa alikuwa hana akili!! Mtaona hata hiyo Stiglers gorge kama itakuwa na manufaa. Alipata waxo hilo akafanya upembuzi yakinifu akaachana na mradi huo akajenga Mtera, Kidatu, Kihansi, nyumba ya Mungu na pale Tanga. Yule mzee was Geneous siyo huyo shetani wa kurukia mawazo ya watu na kugeuza nchi yake. Mungu hahadaiwi kamwondolea mbali wana wake wafaidi mema ya nchi.
Duh 100% TRUE.....ni mawazo yangu kabisa..uamuzi wa kuhamia Dodoma ulikuwa mbaya na wa kulazimisha.
..hatukupaswa kujenga makao makuu mengine wakati tulikuwa na makao makuu yanayojitosheleza hapa Dsm.
..sio kweli kwamba makao makuu ya nchi yanapaswa kuwa katikati ya nchi husika.
..Afrika Kusini kila mhimili una makao yake makuu.
..Executive wako Pretoria, bunge wako Cape Town, na mahakama wako Bloemfontein.
..Fedha tulizotumia kujenga Dodoma zingeweza kuelekezwa ktk sekta ambazo zinagusa maisha ya wananchi kama afya, elimu, maji, etc.
lakini at least hakuna ubabe,kutishana,kufungiwa akaunti, kunyang'anywa hela ,kutiwa ndani nk ni nafuu toshaMkuu kwa mtazamo wangu mm huyu mama hawezi kua rais bora kabisa kwa kifupi mm smukubali hata kidogo nimejipa mda ili nijirizishe kwanza na utendaji wake.
Hili ndiyo la maana sana sana!lakini at least hakuna ubabe,kutishana,kufungiwa akaunti, kunyang'anywa hela ,kutiwa ndani nk ni nafuu tosha
Uko sahihi sanaHuwa nawashangaa sana watu wanaodai katiba mpyaa...mnashindwa kujua shida iko wap..hata ukiwa na katiba bora kama nn..bila kuwa na watu wanaoiheshimu ni kaz bure..katiba haijindeshi yenyewwwe..wapo watu wanaisimamia hiyo katiba..kama hao watu ni hovyoo baas wataikanyagaa tu hiyo katibaaa...hivyoo kinatakiwa ni mind set za hao watu zibadilike hapo ndipo katiba itasaidia..la sivyo ni kutwanga maji kwenye kinu..
Hii iliyopo tu inasiginwaa mchana kutwaa..
Kwamba hata muundo wa Tume ya Uchaguzi wa sasa ni sawa tu?Uko sahihi sana