Kwa sasa ni nadra sana kuwakuta hawa viongozi wapo Dodoma Makao Makuu, wote imekuwa ni njia moja Dar

Viongozi wanafuata machangu wao pale Sinza na Kijitonyama.
 
Inawezekana wana shughuli za kikazi Dar es salaam ndio maana wanaelekea huko.
 
Walipa kodi tunaumia sana.Haya ni matumizi mabaya ya rsilimali zetu ndogo. Hatutaweza kufanya kazi za maendeleo kama hela yote inalipia masurufu ya watu kuja na kwenda Dar.
Kuna sababu ya kuanza kutumia mifumo ya tehama kupunguza hii mikutano ambayo imegeuzwa chanzo cha mapato na tunalipa walipa kodi
 
Huyu bwana aliongoza nchi kama wale mazombie wa BUSERESERE
 
Na hawa ndiyo watachelewesha Jiji la Dodoma kukua!
 
.........ndiyo madhara ya one Man show...walikuwa wanaishi kinafiki tu...Dodoma hakueleweki hakuna mishe wala mwelekeo ...bora warudi kimya kimya mjini...ndiyo maana huwezi kukutana na mzungu anayejielewa au reputable international figure ndani ya Dodoma
 
Na hawa ndiyo watachelewesha Jiji la Dodoma kukua!
Likue kwani kuna nini huko zaidi ya kuchoma pesa. Cha msingi ofisi ziwe x 2 dar na dom. Dar ni jiki kuu la biashara(Pesa na uchumi) Dodoma ni kwa ni jiji la siasa. Ndugai na Mangula- (Bunge na CCM ) mbona hata baba wa Taifa muasisi wa wazo hilo mbona baada ya tafakuri aliachana na wazo hilo. Utalimaje shamba ambalo huvuni. Dodoma waachiwe ndugai na mangula. Tutakuwa huko kwa wakati maalum tu. Msimuone baba wa taifa alikuwa hana akili!! Mtaona hata hiyo Stiglers gorge kama itakuwa na manufaa. Alipata waxo hilo akafanya upembuzi yakinifu akaachana na mradi huo akajenga Mtera, Kidatu, Kihansi, nyumba ya Mungu na pale Tanga. Yule mzee was Geneous siyo huyo shetani wa kurukia mawazo ya watu na kugeuza nchi yake. Mungu hahadaiwi kamwondolea mbali wana wake wafaidi mema ya nchi.
 
o zaidi ya kuchoma pesa. Cha msingi ofisi ziwe x 2 dar na dom. Dar ni jiki kuu la biashara(Pesa na uchumi) Dodoma ni kwa ni jiji la siasa. Ndugai na Mangula- (Bunge na CCM ) mbona hata baba wa Taifa muasisi wa wazo hilo mbona baada ya tafakuri aliachana na wazo hilo. Utalimaje shamba ambalo huvuni. Dodoma waachiwe ndugai na mangula. Tutakuwa huko kwa wakati maalum tu. Msimuone baba wa taifa alikuwa hana akili!! Mtaona hata hiyo Stiglers gorge kama itakuwa na manufaa. Alipata waxo hilo akafanya upembuzi yakinifu akaachana na mradi huo akajenga Mtera, Kidatu, Kihansi, nyumba ya Mungu na pale Kwale Tanga. Yule mzee was Geneous siyo huyo shetani wa kurukia mawazo ya watu na kugeuza nchi yake. Mungu hahadaiwi kamwondolea mbali wana wake wafaidi mema ya nchi.
 
Duh 100% TRUE.....ni mawazo yangu kabisa
 
Mkuu kwa mtazamo wangu mm huyu mama hawezi kua rais bora kabisa kwa kifupi mm smukubali hata kidogo nimejipa mda ili nijirizishe kwanza na utendaji wake.
lakini at least hakuna ubabe,kutishana,kufungiwa akaunti, kunyang'anywa hela ,kutiwa ndani nk ni nafuu tosha
 
Uko sahihi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…