Kwa sasa Rachel Dangwa ndio msanii maarufu anayesimama na wananchi

Kwa sasa Rachel Dangwa ndio msanii maarufu anayesimama na wananchi

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
7,349
Reaction score
21,802
Katika ukombozi wa taifa la Tanganyika sekta ya kulaani na matusi alikabidhiwa Sativa ila kwa sasa rasmi hii sekta kapewa Rachel Dangwa, ambapo inasemekana huwa hata akiota, anaota anaitusi serikali ya madhalimu.

Huyu mwanadada kaamua kusimama na wananchi kwa kuitusi serikali ya ccm kwa matusi ya jumla na reja reja.

Mfahamu japo kidogo mwanaharakati huyu,
1- Alizaliwa mwaka 1998
2- Ana degree ya ualimu kutoka duce
3- Baada ya serikali kuwa inateka na kuuwa watu ndio rasmi alikabidhiwa kitengo cha kuitusi na kuilaani kazi ambayo imemfanya mpaka kufungiwa account zake mara kwa mara.
4- Ana account yake humu JF
5- Video zake ukitaka kuziangalia inabidi uwe na earphone.

IMG_3444.jpeg
 
Back
Top Bottom