Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Nimekutana na mtu ana Masters anaomba uReceptionist. Nilijisikia vby sana, I got into deep thoughts. Sawa sina mtoto lkn nilijiweka ktk position ya mzazi. Unamsomesha mwanao quality schools mpk anachukua degree na MBA nje ya Africa. Then anarudi Bongo kuwa Receptionist wa 400K. Imagine wewe ni mzazi [emoji24]
Leo hii degree holder kupata kazi ya kuhudumia restaurant, kuuza duka, kufungulia walevi bia nk ni kama bahati. Imekua sawa na kupata kazi serikalini miaka ya 90. Zama zimebadilika sana, mambo mengi yamekua tofauti sn (out of order). Wasomi wanadhalilika mitaani, wanakimbizwa kimaisha na laymen. Unakuta fundi selemala anapiga vi-gig viwili vitatu kwa mwezi analala na 400K. Ila wasomi wanalala njaa.
Kosa lilianza na mfumo kutuaminisha kua ukisoma sana, ukafaulu vizuri, utaajiriwa ofisi kubwa then maisha yako yatakua safi. Mfumo ukawalisha huu utopolo wazazi wetu, nao wakatushikia fimbo, mikanda, ndala, mwiko nk ili tusome kwa bidii, tuje kuwa ahead of others. Ila huu mfumo haukua transparent enough kutupa angalizo kuwa rate ya kuzalisha wasomi ni inversely propositional to rate ya kuzalisha hizo ofisi kubwa na kazi nzuri.
Ndio maana leo hii dada zetu wasomi wamekua cheap sn, they walk with price tags on their waists, ni wewe tu na dau lako. Wakaka wasomi wamekua sycophants, kazi yao ni kulamba lamba miguu ya wanaume wanzao, uchawa na tunaelekea kuona vjn wengi wakiwa bootylickers. Worse enough, bado ukienda YouTube utakutana na mtu anapost video "How to write CV like casanova" na anapata viewers laki 1.
Nilikua nategemea contents kama:
1. Jinsi ya kuanza biashara ya uuzaji wa mazao
2. Jinsi ya kuanza biashara ndogo bila mtaji wwt
3. Njia ya uhakika ya kijana wa kiTZ kuingiza 1M kwa mwezi
4. Jinsi ya kujiajiri na kuingiza pesa mtandaoni
5. Biashara 10 unazoweza kuzifanya kwa mtaji wa laki 3.
Leo 2021 msoto upo hivi na bado vyuo zaidi ya 50 hapa TZ vinafyatua wasomi kila mwaka, imagine 2030 itakuaje. Kutakua na wasomi wamemaliza chuo 2017 lkn hadi 2030 hawajawahi kuitwa kwenye interview. Zama zimebadilika mno; elimu ikupe ukombozi wa kifikra sio ukombozi wa kimakaratasi (certificates).