Kwa sasa shahada si kitu tena, tutafuta namna nyingine ya kuokoa vijana

Kwa sasa shahada si kitu tena, tutafuta namna nyingine ya kuokoa vijana

Forex nayo hata mimi ilinitisha baada ya kusoma malalamiko ya watu waliopigwa mkwanja mrefu wakabakia fukara
Hapo ndio tunapokosea mkuu,

Hata kilimo utakutana na watu wanaolia kwamba kimewapiga lakini hapo hapo kuna watu wanatajirika kwa kilimo hicho hicho. Hakuna fursa isiyo na chamgamoto.

Forex matapeli wapo sana ila ni ni wewe tu, uzuri forex elimu yake iko online. Yani kila kitu unakipata kiganjani mwako.
 
Nimekutana na mtu ana Masters anaomba uReceptionist. Nilijisikia vby sana, I got into deep thoughts... sawa sina mtoto lkn nilijiweka ktk position ya mzazi. Unamsomesha mwanao quality schools mpk anachukua degree na MBA nje ya Africa... Then anarudi Bongo kuwa Receptionist wa 400K. Imagine wewe ni mzazi [emoji24]

Leo hii degree holder kupata kazi ya kuhudumia restaurant, kuuza duka, kufungulia walevi bia nk ni kama bahati. Imekua sawa na kupata kazi serikalini miaka ya 90. Zama zimebadilika sana, mambo mengi yamekua tofauti sn (out of order). Wasomi wanadhalilika mitaani, wanakimbizwa kimaisha na laymen. Unakuta fundi selemala anapiga vi-gig viwili vitatu kwa mwezi analala na 400K. Ila wasomi wanalala njaa.

Kosa lilianza na mfumo kutuaminisha kua ukisoma sana, ukafaulu vzr, utaajiriwa ofisi kubwa then maisha yako yatakua safi. Mfumo ukawalisha huu utopolo wazazi wetu, nao wakatushikia fimbo, mikanda, ndala, mwiko nk ili tusome kwa bidii, tuje kuwa ahead of others. Ila huu mfumo haukua transparent enough kutupa angalizo kuwa rate ya kuzalisha wasomi ni inversely propositional to rate ya kuzalisha hizo ofisi kubwa na kazi nzuri.

Ndio maana leo hii dada zetu wasomi wamekua cheap sn, they walk with price tags on their waists, ni wewe tu na dau lako. Wakaka wasomi wamekua sycophants, kazi yao ni kulamba lamba miguu ya wanaume wanzao, uchawa na tunaelekea kuona vjn wengi wakiwa bootylickers. Worse enough, bado ukienda YouTube utakutana na mtu anapost video "How to write CV like casanova" na anapata viewers laki 1.

Nilikua nategemea contents kama;
1. Jinsi ya kuanza biashara ya uuzaji wa mazao
2. Jinsi ya kuanza biashara ndogo bila mtaji wwt
3. Njia ya uhakika ya kijana wa kiTZ kuingiza 1M kwa mwezi
4. Jinsi ya kujiajiri na kuingiza pesa mtandaoni
5. Biashara 10 unazoweza kuzifanya kwa mtaji wa laki 3.

Leo 2021 msoto upo hivi na bado vyuo zaidi ya 50 hapa TZ vinafyatua wasomi kila mwaka, imagine 2030 itakuaje. Kutakua na wasomi wamemaliza chuo 2017 lkn hadi 2030 hawajawahi kuitwa kwenye interview. Zama zimebadilika mno; elimu ikupe ukombozi wa kifikra sio ukombozi wa kimakaratasi (certificates).
Umeandika ukweli, tatizo ni Serikali ukifanya Biashara ili uzalishe ajira wanakufilisi, wabunge wanatunga sheria mbovu za kufilisi watu, alafu watoto na Ndugu zao ndio wanatembea na bahasha mkononi, Ni laana tupu.
 
Nimeliona hili bandiko Instagram je ni wewe uliyeliweka or copy and paste
 
Mpe Credit

sirjeff_denniss-20210505-0001.jpg
 
Wakati haya yakitokea, Rihana ametoka kununua nyumba ya jirani yake kwa Bilioni 23;fedha ya Kitanzania! Kweli Dunia haina usawa.
 
Umeongea kiuhalisia sana mkuu,huo ndio ukweli tufike wakati wazazi tuwapele watoto wetu wakasomee fani vyuo vya kati kama VETA na vinginevyo wapate ujuzi wa kazi za mafundi wa kawaida ili wakiingia kitaa wanakuwa na knowledge ya kutosha kufanya kazi mbalimbali hata welding,wiring.ujenzi wa nyumba,uwekaji tyles,nk,kazi hizo zina hela kweli kweli,tena baadae wakishakuwa na fani hizo wanafungua kampuni kabisa ili wapige hela za miradi ya serikali inayotumia force account,tusilazimishe watoto wetu wasome digrii,tukiona mtoto ana uelekeo wa ufundi ufundi au chochote kile unamkazania huko huko
Hata VETA kusha saturate. Tuwafundishe watoto jinsi ya kujitegemea bika kujali ni VETA, chuo kikuu, la7 nk.
Wazazi tufanye uwekezaji usio kufa mapema, kama viwanda vidogo, kilimo cha mazao ya kudumu, uvuvi, ufugaji nk.
Wazazi wengi ni chanzo cha umasikini wa watoto wao.
Mzazi ukijikwamua watoto watajikwamua.
Mtu ana mashamba kijijini kwao heka hata 100 ametayelekeza yupo mjini Dar, anashindwa hata kupanda miti pori watoto waje wachome mikaa wapate mitaji.
Chanzo ni wazazi serikali inafuatia jamii inamalizia.
 
Nimekutana na mtu ana Masters anaomba uReceptionist. Nilijisikia vby sana, I got into deep thoughts. Sawa sina mtoto lkn nilijiweka ktk position ya mzazi. Unamsomesha mwanao quality schools mpk anachukua degree na MBA nje ya Africa. Then anarudi Bongo kuwa Receptionist wa 400K. Imagine wewe ni mzazi [emoji24]

Leo hii degree holder kupata kazi ya kuhudumia restaurant, kuuza duka, kufungulia walevi bia nk ni kama bahati. Imekua sawa na kupata kazi serikalini miaka ya 90. Zama zimebadilika sana, mambo mengi yamekua tofauti sn (out of order). Wasomi wanadhalilika mitaani, wanakimbizwa kimaisha na laymen. Unakuta fundi selemala anapiga vi-gig viwili vitatu kwa mwezi analala na 400K. Ila wasomi wanalala njaa.

Kosa lilianza na mfumo kutuaminisha kua ukisoma sana, ukafaulu vizuri, utaajiriwa ofisi kubwa then maisha yako yatakua safi. Mfumo ukawalisha huu utopolo wazazi wetu, nao wakatushikia fimbo, mikanda, ndala, mwiko nk ili tusome kwa bidii, tuje kuwa ahead of others. Ila huu mfumo haukua transparent enough kutupa angalizo kuwa rate ya kuzalisha wasomi ni inversely propositional to rate ya kuzalisha hizo ofisi kubwa na kazi nzuri.

Ndio maana leo hii dada zetu wasomi wamekua cheap sn, they walk with price tags on their waists, ni wewe tu na dau lako. Wakaka wasomi wamekua sycophants, kazi yao ni kulamba lamba miguu ya wanaume wanzao, uchawa na tunaelekea kuona vjn wengi wakiwa bootylickers. Worse enough, bado ukienda YouTube utakutana na mtu anapost video "How to write CV like casanova" na anapata viewers laki 1.

Nilikua nategemea contents kama:
1. Jinsi ya kuanza biashara ya uuzaji wa mazao
2. Jinsi ya kuanza biashara ndogo bila mtaji wwt
3. Njia ya uhakika ya kijana wa kiTZ kuingiza 1M kwa mwezi
4. Jinsi ya kujiajiri na kuingiza pesa mtandaoni
5. Biashara 10 unazoweza kuzifanya kwa mtaji wa laki 3.

Leo 2021 msoto upo hivi na bado vyuo zaidi ya 50 hapa TZ vinafyatua wasomi kila mwaka, imagine 2030 itakuaje. Kutakua na wasomi wamemaliza chuo 2017 lkn hadi 2030 hawajawahi kuitwa kwenye interview. Zama zimebadilika mno; elimu ikupe ukombozi wa kifikra sio ukombozi wa kimakaratasi (certificates).
Umeandika vizuri sana
 
Hata VETA kusha saturate. Tuwafundishe watoto jinsi ya kujitegemea bika kujali ni VETA, chuo kikuu, la7 nk.
Wazazi tufanye uwekezaji usio kufa mapema, kama viwanda vidogo, kilimo cha mazao ya kudumu, uvuvi, ufugaji nk.
Wazazi wengi ni chanzo cha umasikini wa watoto wao.
Mzazi ukijikwamua watoto watajikwamua.
Mtu ana mashamba kijijini kwao heka hata 100 ametayelekeza yupo mjini Dar, anashindwa hata kupanda miti pori watoto waje wachome mikaa wapate mitaji.
Chanzo ni wazazi serikali inafuatia jamii inamalizia.
Point tupu
 
Ccm imewatengezea watz maisha mabovu sana sana watoto wa viongozi ni wabunge,madc,na madasi,
Tatizo kubwa ni sisi watazania wenyewe tuna viongozi wasio na mission wala vision kila uchaguzi tunachagua tena hao hao kwa kupewa kofia na fulana !!!!
 
Mimi huwa siwaonei huruma watz !!! Suburi uchaguzi uje utaona watakavyo vaa nguo za kijani na kukebehi wenye Sera mbadala
 
Back
Top Bottom