Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Sioni kama tunatafuta mbadala ya hawa group stage failure. Wanasubiri tu waje kushindana na teams kama GOPCO waoneshe ufundi wao. Na Singida big stars, Ihefu, na JKT au DODOMA JIJI.
Huku tunategemea Simba ikiacha au ikionesha little interest kwa wachezaji flani ndo tukabebe. Kwani uongo? Makapi kama ya akina Chama, Baleke, Mkude, Mwenda (sijajua kwa sasa Mwenda kiwango kimepanda au ndo yale yale.) Simba ilivyokuwa inajijenga na Kanjubai karudi haiwezi kumwacha mchezaji mzuri. Wale tuliachiwa walikuwa miaka yote sisi wenyewe tunawaponda. Wenzetu wakaamua kujenga kikosi. Sisi tukaamua kukibomoa.
Lakini mchezaji anayenunulika kwenye match hatufai hata sisi. Nlimwambia Hersi jambo hilo hakutaka kunielewa.kuwa wachezaji X kama wamekubali kusaliti team yao hawatufai hata sisi. Hakutaka nielewa. Tuna wachezaji mizigo.