Barnabas Mashamba
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 1,154
- 3,144
Taarifa
Kwa wafuatiliaji wetu katika mtandao wa video ujulikanao kama YouTube. Tunapenda kuwajulisha yafuatayo.
1. YouTube channel ambayo hapo mwanzo ilijulikana kwa jina la Yesu Anajibu, kwa sasa inafahamika kwa jina la Mazungumzo na Yesu.
2. Tumeanzisha pia YouTube channel kwa lugha ya kiingereza yenye mawasilisho sawa na yale yatolewayo katika channel ya Mazungumzo na Yesu. Na kwakuanzia, tumeachia video (short + normal video) yenye jina YES THAT BINDS.
Tunaomba radhi kwa wale waliotukosa siku za hivi karibuni, tunapenda kuwaalika kuendelea kufuatilia mazungumzo hayo baina ya Ticha Mashamba na Yesu.