nnaongea unadhan utani bro mimi kwa sasa nachukia mtu wa dini na mwana siasa. Wanasiasa wametufikisha hapa tulipo na wa dini ambao hawatumii vocha wala wi fi kuomba na mungu wanaejidai kumjua asaidie taifa kazi ku load mavideo mtandaoni. Tofauti na id fake mtandaoni mim hata mtaani nawachukia mara kumi kumi. Wewe ni mkiristo ndio sijakataa lakin hapo ulipo matendo yako ni tofauti na ukristu. Kataa jana hujamtongoza gen z na una mke hapo ulipo? Ukiona nimekwambia jambo jua nimekereka. Mashetan ndan ya kivul cha dini. Potelea mbali.