Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Ni moja ya nchi zenye sheria kali sana. Na misingi ya Kidini. Hii ni nchi ambayo inaheshimika sana Kidini. Hili suala linakuaje ndugu zanguni? Limekaaje kaaje?mbona silielewi?
Haya mambo yalianzia Pakistan miaka mingi kuwa ni nchi ambayo inafanya sana Biashara za Madawa ya kulevya. Ikaja nchi kama Dubai na Pia Morocco. Sasa ni akina nani wanatumia haya madawa huko?
Au hili suala ni vita vya kiuchumi? Sielewi na nimeumizwa sana na jambo hili maana linachafua taswira ya nchi hii Takatifu.