imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Nimefanya kazi huko ndugu,najua ninachokiongea.Wanaochinjwa saudia ni wakosoaji wa utawala wa kifalme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefanya kazi huko ndugu,najua ninachokiongea.Wanaochinjwa saudia ni wakosoaji wa utawala wa kifalme
Ni moja ya nchi zenye sheria kali sana. Na misingi ya Kidini. Hii ni nchi ambayo inaheshimika sana Kidini. Hili suala linakuaje ndugu zanguni? Limekaaje kaaje?mbona silielewi?
Haya mambo yalianzia Pakistan miaka mingi kuwa ni nchi ambayo inafanya sana Biashara za Madawa ya kulevya. Ikaja nchi kama Dubai na Pia Morocco. Sasa ni akina nani wanatumia haya madawa huko?
Au hili suala ni vita vya kiuchumi? Sielewi na nimeumizwa sana na jambo hili maana linachafua taswira ya nchi hii Takatifu.
View attachment 2345108
mimi nipo makka mwaka wa 5 sasaNimefanya kazi huko ndugu,najua ninachokiongea.
Mimi nimefanya Jeddah miaka mingi nimeshuhudia watu wakichinjwa kwa kwa kuingiza unga.mimi nipo makka mwaka wa 5 sasa
Dunia nzima sasa Porn ni big bussines hapa Nchini kwetu watu wanaolog kwenye Porn Websites ni mamilion na ni hulka ya Mwanadamu zamani watu walikuwa wanakula chabo kwenye Maguest house lakini leo imerahisishwa zaidi.Leo nimesoma BBC eti huko Kuna uhitaji wa video za ngono sana yaani nchi za kiarabu zote!
Kweli kabsa n Moja ya source ya mapato Yao,ila wakikukuta huna ndevu au umezini wanakupiga panga.Taleban ni walima Mihadarati wakubwa ila wakisikia Adhana chap msikitini.
Serikali nyingi zina umafia nyuma yake.
Safi sana. Nadhani unakumbuka kuhiji kila mwaka. Utakuwa na mathawabu ya kutosha...safi sana.mimi nipo makka mwaka wa 5 sasa
Tunasema tunaenda makkaNchi ni sehemu zote za nchi husika. Kwani tunaoosema tunaenda kuhiji huwa tunasema tunaenda wapi?
Ipo wapi?Tunasema tunaenda makka
Jambia la shingo linawahusu sana hawa jamaa. Hamna namna watalikwepaKwa Sheria ya Saudi Arabia wote hao wanaenda kuchinjwa muda si mrefu.
UfafanuziNi moja ya nchi zenye sheria kali sana. Na misingi ya Kidini. Hii ni nchi ambayo inaheshimika sana Kidini. Hili suala linakuaje ndugu zanguni? Limekaaje kaaje?mbona silielewi?
Haya mambo yalianzia Pakistan miaka mingi kuwa ni nchi ambayo inafanya sana Biashara za Madawa ya kulevya. Ikaja nchi kama Dubai na Pia Morocco. Sasa ni akina nani wanatumia haya madawa huko?
Au hili suala ni vita vya kiuchumi? Sielewi na nimeumizwa sana na jambo hili maana linachafua taswira ya nchi hii Takatifu.
View attachment 2345108
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Taleban ni walima Mihadarati wakubwa ila wakisikia Adhana chap msikitini.
Serikali nyingi zina umafia nyuma yake.
Acha ujinga....Tanzania ilipokuwa lango kuu tuliona athari zake mitaani. Tuliona athari zake kwenu nyie vijana. Wengi mliathirika sana. Angalia akina Chid Benz, Rehema Chalamila,TID n.kUfafanuzi
Wanaposema Lango kuu haimaanishi kwamba hayo madawa yanatumiwa na wakaazi wa Saudi Arabia,hapana. Maana Yake Ni kwamba,Madawa mengi ya Kulevya yanapitia Saudia Arabia kwenda Mashariki ya Mbali Kama China,Singapore,Vietnum,Malaysia, Myanmar,n.k.
Tanzania iliwahi kutajwa kuwa Lango kuu la wasafirishaji wa Dawa za Kulevya kwa Afrika Mashariki na Kati. Dawa Nyingi zilikuwa zinapita Tanzania kuelekea Kusini mwa Afrika (Afrika Kusini,Namibia,Angola,Botswana na Zimbabwe). Tanzania zilikuwa zinapita TU lakini masoko makubwa yako huko zinakoelekea.