Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Inategemeana waliowatuma ni akina nani.Kwa Sheria ya Saudi Arabia wote hao wanaenda kuchinjwa muda si mrefu.
Aliyeingiza na aliyepokea Ijumaa ijayo wanaenda kuacha vichwa.Inategemeana waliowatuma ni akina nani.
Haya mambo yaone hivi hivi.
Kama Columbia tu, ni Wakatoliki wazuri sana, ila kwenye Cocaine kuna Macartel kuliko Mashemasi.Taleban ni walima Mihadarati wakubwa ila wakisikia Adhana chap msikitini.
Serikali nyingi zina umafia nyuma yake.
So hii ina justify? Poor reasoning.Kama Columbia tu ni Wakatoliki wazuri sana ila kwenye Cocaine kuna Macartel kuliko Mashemasi.
Look! kwenye utafutaji dunia ya leo kila mtu anaangalia fedha na sadaka inapokekewa.
Nchi ni sehemu zote za nchi husika. Kwani tunaoosema tunaenda kuhiji huwa tunasema tunaenda wapi?Saudi Arabia sio nchi Takatifu yote.Kuna miji miwili tu ndio mitakatifu,ni Makka na Madina.Hiyo Riyadhi ni miji kama miji mingine.Na mji wa tatu mtakatifu kwa waislamu Jerusalem.Kwa hiyo Saudia yote ni nchi takatifu ni miji miwili tu.
Wauza dawa wako wa imani zote, pole kama ulikuwa unataka kushutumu DiniSo hii ina justify? Poor reasoning.
Makaburi mengi ya drug dila ya huo ukanda yamejazwa misalaba mikubwa na sanamu nyingi za bikra Maria๐๐๐Kama Columbia tu ni Wakatoliki wazuri sana ila kwenye Cocaine kuna Macartel kuliko Mashemasi.
Look! kwenye utafutaji dunia ya leo kila mtu anaangalia fedha na sadaka inapokekewa.
Kawaida tu hats usishangae, papaa alikua baunsa wa club,Ni moja ya nchi zenye sheria kali sana. Na misingi ya Kidini. Hii ni nchi ambayo inaheshimika sana Kidini. Hili suala linakuaje ndugu zanguni? Limekaaje kaaje?mbona silielewi?
...
Akili yako ndo imeishia hapo?yaani dawa za kulevya unazungumzia Dini? Nyie hampendi shule kabisa eeeeh? Kuna dhambi ambayo ni ya Dini flani? Well Dini ya Kishetani labda. Mimi nina hoja ya msingi wewe unaleta Dini? Kichwa unafugia nywele na ndevu tu?๐Wauza dawa wako wa imani zote, pole kama ulikuwa unataka kushutumu Dini
Daaah.....Njoo zanzibar uone,unga na bangi ni biashara kubwa,nchi za kiislam zinachagua dhambi za kufanya
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Taleban ni walima Mihadarati wakubwa ila wakisikia Adhana chap msikitini.
Serikali nyingi zina umafia nyuma yake.