Sio kweli, kwani wangeamua kumkamata tu ingekuwaje. Gaddafi alitawala kwa miaka 42 kwa mkono wa chuma na kufanya wananchi wengi wamchukie.Wamarekani ndio waliochochea uasi wa walibya dhidi ya Gadafi. Kwa hiyo ni sahihi kabisa kusema kuwa wazungu wa marekani ndio waliomwua Gadafi!!
Kwa maana ya kwamba akili zetu ni za kushikiwa?WNBA Star Brittney Griner and Wife Cherelle Griner’s Relationship Timeline.
Hao weusi wamepotoshwa na hao wazungu!
Hatujasahau bado majeshi ya nato na America yalivyoshambulia Tripoli na kuua watu bila huruma, marshal muammar gadafi alipojibu America walikuja juu na kusema marshal anatumia silaha za sumu kuua raia wake walitengeneza tatizo baadae wakalitangaza na kuaminisha dunia kuwa marshal anatumia Nguvu kudhibiti raia wake, mwisho wa mchezo wakaingia Libya mazima na marshal akasema mutaniua ila nitapambana hadi mwisho na ntakufa katika ardhi yangu, maneno yake yalitimia coz alisema mtakuwa watumwa katika nchi yenu na pia hamtopata amani daima na leo ndio yanawakuta walibya, hatujasahau America walipofanya jaribio la kumuua yeye wakamkosa na kumuua mtoto wa kike mdogo ambaye gadafi alimuathiri. so musijitoe ufahamu eti gadafi aliuliwa na wananchi wake wakat tunajua kila kitu kilivyopangwaGaddafi aliuawa na wananchi wake acheni uongo. Wakati anauawa hakukuwa na mzungu yeyote kwenye eneo la tukio ila Walibya wenzake.
Waliomuua Gaddafi walikuwa ni walibya wenzake bwana acha uongo kama kuna mzungu aliyemuua tuambie alikuwa anaitwa nani aliyekuwa on the scene when the Libyan dictator was being killed.Hatujasahau bado majeshi ya nato na America yalivyoshambulia Tripoli na kuua watu bila huruma, marshal muammar gadafi alipojibu America walikuja juu na kusema marshal anatumia silaha za sumu kuua raia wake walitengeneza tatizo baadae wakalitangaza na kuaminisha dunia kuwa marshal anatumia Nguvu kudhibiti raia wake, mwisho wa mchezo wakaingia Libya mazima na marshal akasema mutaniua ila nitapambana hadi mwisho na ntakufa katika ardhi yangu, maneno yake yalitimia coz alisema mtakuwa watumwa katika nchi yenu na pia hamtopata amani daima na leo ndio yanawakuta walibya, hatujasahau America walipofanya jaribio la kumuua yeye wakamkosa na kumuua mtoto wa kike mdogo ambaye gadafi alimuathiri. so musijitoe ufahamu eti gadafi aliuliwa na wananchi wake wakat tunajua kila kitu kilivyopangwa
Kama anavyotawala elizabethSio kweli, kwani wangeamua kumkamata tu ingekuwaje. Gaddafi alitawala kwa miaka 42 kwa mkono wa chuma na kufanya wananchi wengi wamchukie.
Alikua anaitwa NATOWaliomuua Gaddafi walikuwa ni walibya wenzake bwana acha uongo kama kuna mzungu aliyemuua tuambie alikuwa anaitwa nani aliyekuwa on the scene when the Libyan dictator was being killed.