Hatujasahau bado majeshi ya nato na America yalivyoshambulia Tripoli na kuua watu bila huruma, marshal muammar gadafi alipojibu America walikuja juu na kusema marshal anatumia silaha za sumu kuua raia wake walitengeneza tatizo baadae wakalitangaza na kuaminisha dunia kuwa marshal anatumia Nguvu kudhibiti raia wake, mwisho wa mchezo wakaingia Libya mazima na marshal akasema mutaniua ila nitapambana hadi mwisho na ntakufa katika ardhi yangu, maneno yake yalitimia coz alisema mtakuwa watumwa katika nchi yenu na pia hamtopata amani daima na leo ndio yanawakuta walibya, hatujasahau America walipofanya jaribio la kumuua yeye wakamkosa na kumuua mtoto wa kike mdogo ambaye gadafi alimuathiri. so musijitoe ufahamu eti gadafi aliuliwa na wananchi wake wakat tunajua kila kitu kilivyopangwa