kibe salum
Member
- Mar 31, 2019
- 12
- 1
Wajinga pia, mugalu msimu ulioisha alikuwa ni miongoni mwa top score msimu huu sijamuona itakuwa sababu ya majeruhiMashabiki wa simba wana roho za Kichawi na Kinafiki ata mugalu amewahi kuwaambia. angalia comment utagundua kitu wachezaji waliokua msaada leo wanadharaukika wanapewa sifa kina sakho afu dilunga anachambwa, lwanga amesahaulika kisa majeruhi
Naunga mkono hoja, Bwalya msimu huu ameshindwa kabisaa kung'aa nilitegemea angevaa vyema viatu vya Chama lakini wapi?Code:Me naanza na bwalya, huyu jamaa mpka sasa ana gori moja kwenye league na hana assist hata moja, me kwakweli Huduma yake sijaridhika nayo, Wa pili- ni kibu nae ni mchezaji mwenye mihemko hatari anaeza pata nafasi kumi akapatia moja au mbili, na ana bahati ya kupangwa kwenye kikosi, lakin sio mtulivo kabisa, -Mwingine ni mzamilu pass zake ni bahati nasibu huyu bwana sijawai muelewa, asipo amka vizuri ndiyo BC atapoteza pass mwanzo mwisho, -boko na mugalu siwazungumzii kwa sababu hata namba hawana Uwakika nazo,
Ndio uwa anamakosa ya kitoto sana tena uwa anayafanya dakika za lala salama.Uko serious kuhusu Aishi
Kipa gani bongo mbadala wa manulaNdio uwa anamakosa ya kitoto sana tena uwa anayafanya dakika za lala salama.
Bwalya, Mugalu, Kagele, Bocco, Mzamiru, Dilunga, Duncun, Banda. Hawa wote siwaelewi kabisa.
Bwalya unamuonea mkuu. Ila Bocco daah! Labfa tumpe muda atarudi kwenye form
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Wapo wengi,Kakolanya apewi nafasi lakini anamzidi Manula.Kipa gani bongo mbadala wa manula
Mashabiki wa simba wana roho za Kichawi na Kinafiki ata mugalu amewahi kuwaambia. angalia comment utagundua kitu wachezaji waliokua msaada leo wanadharaukika wanapewa sifa kina sakho afu dilunga anachambwa, lwanga amesahaulika kisa majeruhi
Acha kuleta mapenzi na wachezaji kwanini kocha anafukuzwa wakati huo yeye achezi? Mchezaji akiisha atimuliwe,Banda yupo vizur sana huyo ,kibu ttzo alilonalo ni mchoyo katika kugawa mpira anataka afunge yeye tu wakat anauwezo wa kugawa pas na akafunga mwingine
kibu anampira wa shule achezi kama team kuna muda anatakiwa apasie kama alivo fanya kwenye assist ya gori la sakhoAngalizo:
simba wasipo jivua gamba kama walivyofanya Yanga msimu huu wa 2021/2022 kwa kupunguza wachezaji wengi mizigo na kusajili wapya, basi ndani ya miaka miwili ijayo, itakuwa kama Namungo fC tu.
Kiukweli timu ina wachezaji wengi wazee na ambao hawana jipya tena! na vijana wengi mayai mayai ambao wakibanwa uwanjani na mabeki wakatili kama Dickson Job, huishia tu kuruka ruka.
kuna watu wanawaonea huruma wachezaji et kisa mwaka Jana walifanya vizuri, kwaiyo wakifanya vibaya saizi tuendelee kuwachekea na tunapotea!?Huyo utoUko serious kuhusu Aishi
Kipa gani bongo mbadala wa manula