Kwa shabiki wa Simba ni mchezaji gani umuelewi mpaka muda huu, huduma yake haikuridhishi kabisa?

Kwa shabiki wa Simba ni mchezaji gani umuelewi mpaka muda huu, huduma yake haikuridhishi kabisa?

Mashabiki wa simba wana roho za Kichawi na Kinafiki ata mugalu amewahi kuwaambia. angalia comment utagundua kitu wachezaji waliokua msaada leo wanadharaukika wanapewa sifa kina sakho afu dilunga anachambwa, lwanga amesahaulika kisa majeruhi
 
Wajinga pia, mugalu msimu ulioisha alikuwa ni miongoni mwa top score msimu huu sijamuona itakuwa sababu ya majeruhi
 
Code:
Me naanza na bwalya, huyu jamaa mpka sasa ana gori moja kwenye league na hana assist hata moja, me kwakweli Huduma yake sijaridhika nayo,
Wa pili- ni kibu nae ni mchezaji mwenye mihemko hatari anaeza pata nafasi kumi akapatia moja au mbili, na ana bahati ya kupangwa kwenye kikosi, lakin sio mtulivo kabisa,
 -Mwingine ni mzamilu pass zake ni bahati nasibu huyu bwana sijawai muelewa, asipo amka vizuri ndiyo BC atapoteza pass mwanzo mwisho,
-boko na mugalu siwazungumzii kwa sababu hata  namba hawana Uwakika nazo,
Naunga mkono hoja, Bwalya msimu huu ameshindwa kabisaa kung'aa nilitegemea angevaa vyema viatu vya Chama lakini wapi?
 
Wana msimbaziii bora iwe hiv
257395171_396862401961343_15191318171143015_n.jpg
 
Boko baada ya kutoka kwenye majeruhi bado ameshindwa kurudi vizuri kama alivyokuwa mwanzo. Lakini ukifuatilia vizuri ndiye aliyeisaida sana Simba kuchukua ubingwa misimu miwili iliyopita kwa kufunga magoli muhimu tena kwenye vibovu vya mikoani vyenye changamoto nyingi. Kwa upande wangu naona Boko ana nafasi bado ya kucheza Simba japo watu wengi hapa wanamuona kaisha.

Suala kubwa ni je benchi la ufundi linamtumiaje Boko ili kupata ubora wake hasa kwenye mechi za mikoani? Kiukweli kabisa kutokana na umri wake na majeraha ya mara kwa Boko anatakiwa aandaliwe kisaiokolojia kwa jukumu jipya la kuwa mwokozi wa timu inapobanwa hasa kwenye viwanja vya mikoani vinavyowashinda wachezaji wengi na atumike si zaidi kwa dakika 20 kabla ya mechi kumalizika. Naamini Boko akipewa jukumu hili jipya atalifanya kwa ufanisi mkubwa sana
 
Bwalya, Mugalu, Kagele, Bocco, Mzamiru, Dilunga, Duncun, Banda. Hawa wote siwaelewi kabisa.

Banda yupo vizur sana huyo ,kibu ttzo alilonalo ni mchoyo katika kugawa mpira anataka afunge yeye tu wakat anauwezo wa kugawa pas na akafunga mwingine
 
Mashabiki wa simba wana roho za Kichawi na Kinafiki ata mugalu amewahi kuwaambia. angalia comment utagundua kitu wachezaji waliokua msaada leo wanadharaukika wanapewa sifa kina sakho afu dilunga anachambwa, lwanga amesahaulika kisa majeruhi
Acha kuleta mapenzi na wachezaji kwanini kocha anafukuzwa wakati huo yeye achezi? Mchezaji akiisha atimuliwe,
 
Banda yupo vizur sana huyo ,kibu ttzo alilonalo ni mchoyo katika kugawa mpira anataka afunge yeye tu wakat anauwezo wa kugawa pas na akafunga mwingine
kibu anampira wa shule achezi kama team kuna muda anatakiwa apasie kama alivo fanya kwenye assist ya gori la sakho
 
Angalizo:
simba wasipo jivua gamba kama walivyofanya Yanga msimu huu wa 2021/2022 kwa kupunguza wachezaji wengi mizigo na kusajili wapya, basi ndani ya miaka miwili ijayo, itakuwa kama Namungo fC tu.

Kiukweli timu ina wachezaji wengi wazee na ambao hawana jipya tena! na vijana wengi mayai mayai ambao wakibanwa uwanjani na mabeki wakatili kama Dickson Job, huishia tu kuruka ruka.
kuna watu wanawaonea huruma wachezaji et kisa mwaka Jana walifanya vizuri, kwaiyo wakifanya vibaya saizi tuendelee kuwachekea na tunapotea!?
 
Back
Top Bottom