Bwalya hana msaada kwenye timu. Anachelewesha mpira pasipotakiwa, pia angalia takwimu hana assist hata moja msimu huu ligi kuu wakati yeye ni namba 10. Amefunga goli moja tu ligi kuu tena la penalt, ndio maana watu wanamkumbuka CCC maana kazi yake ilikuwa inapimika.Bwalya unamuonea mkuu. Ila Bocco daah! Labfa tumpe muda atarudi kwenye form
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Acheze ngapi sasa. Nane hawezi, anafaa mtu kama Fraga au MzamiruWawa nakusapoti ila bwalya abaki ila asicheze namba 10 kwa sababu kwake inampa shida
Kaseja huyu huyu hata KMC hapati nambaWapo wengi,Kakolanya apewi nafasi lakini anamzidi Manula.
Juma Kaseja anavitu vingi mno kamzidi Manula mbali sana.
Kaseja Mkuu ata uko KMC kwa sasa hapati namba unasemaje awe mbadala wa manulaSwali kama hili uliuliza mwanzo kabisa bila kumuhusisha Kasseja,nilipokujibu Kasseja na Kakolanya umeuliza tena swali iloilo kwa kumkrash Kasseja eti muda wake umeisha.
muda wake umeishaje kwa mfano,wakati KMC pangapangua na ni msaada kwa timu yake ,tena timu inashiriki ligi kuu?
Kipa wa kumtoa golini Manula ni Kasseja au Kakolanya.
Kama hutaki maoni ya watu unayosema ya kudhalilishana ondoka kwenye mitandao ya kijamiiUkiona ujinga unapita Mkuu humu tunajadiliana hatupo kudhalalishana kwa kauli zisizofaa
Nikiona sina uhitaji nako nitaondoka chief isikupe shida. Ila penda kujadiliana kwa uungwana hamna anaekataa maoni ya mtu.Kama hutaki maoni ya watu unayosema ya kudhalilishana ondoka kwenye mitandao ya kijamii
Kipindi wapo na chama na luis alikuwa hatari adi tukajua chama akiondoka yeye ndio mridhi kwa vile tulidhani chama alikuwa anafanya asionekaneTuache unafiki, Bwalya ana kipaji lakini anahitaji mabadiliko makubwa sana! Awe very direct, hana madhara sana na ni mvivu kukaba. Ni talented lakini sio hatari, huko mbele tukipata watu serious atakosa namba!
Kipindi wapo na chama na luis alikuwa hatari adi tukajua chama akiondoka yeye ndio mridhi kwa vile tulidhani chama alikuwa anafanya asionekane
Lakini tuliyodhani hayatokea
yaani imekua tofauti ajitumi hana uchungu wa kuibeba team, afu ni mchezaji mzuriSijui amekumbwa na niniyaani imekua tofauti ajitumi hana uchungu wa kuibeba team, afu ni mchezaji mzuri
Mbona wakina steve g waliondoka liver na wao wasepe mkuuMuwe mnathamini malegend wenu basi