Kwa Shilingi 400/= unaweza kupika maharage mpaka yakaiva ukiwa na jiko la umeme(Induction cooker)

0.6 units haifiki hata shilingi 400. Unit moja ya umeme ni sawa na shilingi 360 hivi kwahiyo kama unatumia 0.6 unit manake unatumia chini ya shilingi mia tatu.
 
Kwa maelezo yako kwenye aya ya kwanza na ya pili sina budi kukwambia TAFUTA HELLA.
 
Induction Cooker ni most efficient by none na hapo kuongezea efficiency tumia pressure cooker na setting ya maana sio hio slow cooking

Shida ya hizi cooker bado bei ipo juu na zinahitaji sufuria ferromagnetic kwahio zile zako za kila siku hazitumikia hapa
 
Ghetto line kitambo,
Nachemsha maji 100cent. Natia Kwenye chupa kubwa pamoja na maharage, nikirudi nitokapo nafungua chupa nakuta tayari yamekwiza hivyo ubaki chumvi tu au kuyaunga nakuyatupia shimoni(tumbo
 
Nunua chupa ya chai nzuri na kubwa.

Osha maharage yako usiku,
Chemsha maji yachemke vizuri yatie kwenye chupa pamoja na maharage.
Funga chupa yako nenda kalale.
ASUBUHI utakuta maharage yameuiva.
Upo
Mlipuko wake sio wa kitoto.
Maharage hayo ni mlo wa mtu mmoja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…