Kwa Shilingi 400/= unaweza kupika maharage mpaka yakaiva ukiwa na jiko la umeme(Induction cooker)

Kwa Shilingi 400/= unaweza kupika maharage mpaka yakaiva ukiwa na jiko la umeme(Induction cooker)

Ni rahisi mnooo Kupikia umeme kuliko Gas na mkaa labda kama mtungi ni wa Taifa gas maana unajaa vizuri.
 
Hayo madude yanganguruma zaidi ya matransfoma ya zamani
Hilo litakuwa la kizamani sana au pressure cooker la mkaa.
Tulio nayo ma mult pressure cooker hayana mlio wala kero yoyote .Na matumizi yake ya umeme ni madogo mnoo aina ya Pressure cooker ninayo tumia ni ELSHERRIF,ALKATAN
 
Back
Top Bottom