Hilo litakuwa la kizamani sana au pressure cooker la mkaa.
Tulio nayo ma mult pressure cooker hayana mlio wala kero yoyote .Na matumizi yake ya umeme ni madogo mnoo aina ya Pressure cooker ninayo tumia ni ELSHERRIF,ALKATAN
Osha maharage yako usiku,
Chemsha maji yachemke vizuri yatie kwenye chupa pamoja na maharage.
Funga chupa yako nenda kalale.
ASUBUHI utakuta maharage yameuiva.
Upo