Kwa Shilingi milioni 6, ni biashara gani nzuri ambayo inaweza kunitoa

Mkuu usipokua makini kupitia huu uzi ndo utajua mfano hai na maana halisi ya fursa.

NOTE: hua wanasema tunajifunza kwa makosa ila epuka kujifunza kwa makosa/gharama kubwa.
 
Fungua mgahawa sehemu safi,tafuta mafundi wa kupika hata watatu,nenda maofisini chukua tenda za kuwapelekea msosi ikiwezekana watume mwakilishi kuona chakula hicho kinavyotengenezwa kwenye mazingira husika
 
Kunywa soda nakuja kulipa
 
upo serious ??
Ushindi kila dakika kumi mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukiliwa utakua umelogwa
 
duh, akijibu nitagi
 
dah mkuu sijawahi kubet na sidhani kama naweza
 
Fungua mgahawa sehemu safi,tafuta mafundi wa kupika hata watatu,nenda maofisini chukua tenda za kuwapelekea msosi ikiwezekana watume mwakilishi kuona chakula hicho kinavyotengenezwa kwenye mazingira husika
dahh good idea mkuu nashukuru
 
yan una idea na ela kidog au huna kabisa nguvu yote inatoka kwangu?

Ni kuwa hapa hawanielewi kisa wazo jipya sana ndo maana nakosa support. Kama wewe huna idea ya kueleweka ila una hela
 
Hiyo milioni 6 ni ya notes za 5000 au 10000 , emu tuambie kwanza tutaweza kukushauri vizuri.

Kwa mtaji huo waweza kuanzisha biashara ya nafaka mahindi au maharage

Nunua gunia 100 kwa makadirio ya Tsh 3000,000/= maeneo ya mkoa wa Iringa, Mbeya, mpwapwa Dodoma, katavi au sumbawanga

Safirisha peleka Dar es salam , mpe dalali unaye muamini akuuzie
Usafiri na ushuru unaweza gharimu 1,200,000/=

Hyo milioni moja na laki 8 itunze kwanza ukiangalia upepo wa Biashara

Nb,.kabla ya kuanza hiyo biashara tembea kwanza unapopata nafasi ujue wenzio wanauza shingap, na wananunuaje,
 
sawa ndugu
ushauli mzul ngoja nifanyie kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…