Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunywa soda nakuja kulipaFungua mgahawa sehemu safi,tafuta mafundi wa kupika hata watatu,nenda maofisini chukua tenda za kuwapelekea msosi ikiwezekana watume mwakilishi kuona chakula hicho kinavyotengenezwa kwenye mazingira husika
Ushindi kila dakika kumi mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukiliwa utakua umelogwaupo serious ??
duh, akijibu nitagiUshindi kila dakika kumi mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukiliwa utakua umelogwa
Sawa mkuu nitafanya hivyoduh, akijibu nitagi
Ushindi kila dakika kumi mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukiliwa utakua umelogwa
Hata ukiwapa bonus ya juisi kwa miezi ya kwanza sio mbayadahh good idea mkuu nashukuru
yan una idea na ela kidog au huna kabisa nguvu yote inatoka kwangu?
Hiyo milioni 6 ni ya notes za 5000 au 10000 , emu tuambie kwanza tutaweza kukushauri vizuri.
Kwa mtaji huo waweza kuanzisha biashara ya nafaka mahindi au maharage
Nunua gunia 100 kwa makadirio ya Tsh 3000,000/= maeneo ya mkoa wa Iringa, Mbeya, mpwapwa Dodoma, katavi au sumbawanga
Safirisha peleka Dar es salam , mpe dalali unaye muamini akuuzie
Usafiri na ushuru unaweza gharimu 1,200,000/=
Hyo milioni moja na laki 8 itunze kwanza ukiangalia upepo wa Biashara
Nb,.kabla ya kuanza hiyo biashara tembea kwanza unapopata nafasi ujue wenzio wanauza shingap, na wananunuaje,
kanunua api mkuu niambie nami nikachukueKuna jamaa kanunua TVS mpya kabisa kwa 6.5 japo mkuu hapo ana 6m kamili.