GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Huoni zinaweza kuwani shutuma tu.Na sii wakisaji?Anaanza Kuhukumiwa kwenda Jela mwana CCM Sabaya kisha anafuatia mwana CHADEMA Mbowe na Mzani unakaa sawa.
Ushauri wangu wa bure tu kwa Familia za Wahusika waanze Kujiandaa Kisaikolojia na kupeana zamu kwenda Gerezani.
Hukumu za hawa Wawili zitaionyesha Jumuiya ya Kimataifa kuwa Tanzania ya Bi. Hangaya ni ya Kutenda Haki na haionei Mwanasiasa.
Sifurahii hizi Hukumu ambazo naziona zinaenda Kuwatokea, ila ukweli ni kwamba Wote Wawili wana Shutuma nzito na kali.
Kuna wakati, watu wanaona hata aibu kuwa sehemu ya member wa JF!ndio mnashtuka hakuwa anatafutwa sabaya?
too late
na cdm mlivyo mashoga, eti kuandamana mnaogopa polisi eti
aibu
makamanda wa keyboard
Sipo JF kufanya Mabishano nanyi sawa?Freeman Mbowe ana tuhuma gani?!
mmoja wapo weweKuna wakati, watu wanaona hata aibu kuwa sehemu ya member wa JF!
hana shutuma na hivi sasa yuko kalala na mke wake, na wewe houseboy unamuandalia chaiFreeman Mbowe ana tuhuma gani?!
Shutuma tena?!hana shutuma na hivi sasa yuko kalala na mke wake, na wewe houseboy unamuandalia chai
happy??
jenta aka popoma.Sipo JF kufanya Mabishano nanyi sawa?
Umelala na mumeo mawazo hayo yakaja bila facts kisha unatuletea hapa?Anaanza Kuhukumiwa kwenda Jela mwana CCM Sabaya kisha anafuatia mwana CHADEMA Mbowe na Mzani unakaa sawa.