Kwa Siasa za Tanzania Mbowe ni 'next level'. Aliwahi kukutana na Mandela baada ya kutoka jela, ana maarifa mengi!

Kwa Siasa za Tanzania Mbowe ni 'next level'. Aliwahi kukutana na Mandela baada ya kutoka jela, ana maarifa mengi!

Kuhusu kufanana na MANDELA KUHUSU KUALIKWA IKULU BAADA TU YA KUTOKA JELA kunaweza kuwa sahihi....japo Mandela hakuwa mahabusu pale Robben Island.... Mbowe alikuwa mahabusu "segedanse".

Sisi vijana wa CCM tunaweza tusimjue Mbowe wa miaka hiyo ya 70....

Ila tunamjua vyema kama mtu "kinyonga" panapokuwa na maslahi yake binafsi.

1)Mbowe alilamba....alilambishwa kufikia uamuzi wa "kubadili gia angani", ushahidi upo bayana.

2)Si tu siasa dhidi ya CCM iliyosabisha yeye na mh.Tundu Lissu wafanye "lobbying" kwa wabunge wa CDU ujerumani kutaka "motion" bundestag kuishinikiza serikali ya Tanzania iachane na ujenzi wa BWAWA la kufua umeme Mwalimu Nyerere wenye kuzalisha megawati 2215....ikaja kufahamika kuwa matajiri wenye viwanda huko walikuwa wanapinga kuogopea biashara zao za "majenereta" kuanzia madogo mpaka yale makubwa ya viwandani....Mbowe alilambishwa haswaaa....[emoji1787][emoji1787]

3)Mbowe hawapingi DP WORLD kisiasa tu....Kalamba....aisukume "ajenda" ya waarabu hao kufadhili "makundi ya kigaidi"...Msukumo huo unatoka kwa baadhi ya wachina na wafanyabiashara wa nchi za magharibi..na unashika kasi kwa kuwa tu mh.Rais SSH anatokea Zanzibar...Mbowe anashangaza sana.....anaingiza ubaguzi wa KIKABILA NA KIKANDA ambao ni haramu kwetu watanzania.....

Kama si mh.Rais SSH...mh.Mbowe angeshtakiwa ile kesi ya Ugaidi....hapa ndipo pangemfanya afanane na hayati Mandela [emoji1787][emoji1787]

Hana shukran....
Hana shukran....

Amezoea siasa za "kusukumana" alizopitia utawala wa awamu ya 5.....

Kukosoa si kosa....ila kusema kuwa mh.Rais SSH anaiuza nchi huku vijana wa Mbowe wakisema kwa kuwa ni "mwarabu" ana wajomba Oman ni kosa la karne....mh.SSH na Oman wapi na wapi?!!!

Hivi Wamakunduchi anapotokea Rais wetu wameanza lini kuwa na "usuhuba" wa damu na waarabu ?!!![emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Yaani wamakunduchi walioitwa WAHADIMU na waarabu leo wamegeuka waarabu?!

Vijana wa Mbowe hawajui historia....watupu kabisa...watuulize sisi makomredi vijana makini wa CCM...tutawafundisha historia ya mataifa haya ya JMT na watu wake.

#SiempreJMT[emoji120]

#MamaAnaupigaMwingi[emoji2956][emoji2956]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ili uwe mwanasiasa kijana hasa UVCCM unatakiwa kuwa na akili za namna hii. Bahati nzuri mimi ninao marafiki kutoka vyama vya ccm na cdm,kiukweli uvccm ni sumu kwa taifa hili la Tanzania.

Wao wakishamezeshwa itikadi,hapo yy ni mzalendo eti.
Kuna mmoja huyo uvccm kipindi Lissu anapigwa risasi 307 jamaa akawa ana shangilia sana,sasa nikajiuliza,hivi ili uwe uvccm unatakiwa uwe seheme ya watenda maovu?

Miaka miwili baadae,akanitumia ujumbe akiomba msaada wa kumtafuta mpwa wake eti alipotea.
Nika muuliza "Vp,kipindi kile ndugu zake Lissu wana umia kutokana na ndugu yao kulambwa zile risasi,unadhani walikuwa wana jisikiaje?"

Hakutoa majibu.
March 17 2021 baada ya lile tangazo,nikamuuliza "vp, una jisikaje? Hakuwa na majibu.
Jamani, uzalendo siyo kuwa kada wa chama,chawa sijui kupe.
 
Nimeangalia orodha ya watu wanaomponda Mbowe kuanzia Wabunge, UVCCM hadi akina Hamad Rashid nikaona 95% ni chuki binafsi tu na wala siyo lile angalizo au tahadhari aliyotoa Freeman.

Mtu kama Kibajaj Tangu ahame CHADEMA na kujiunga CCM amekuwa na bifu na Mbowe. Hamad Rashid akiwa bungeni mara kwa mara alikuwa akimrefer Mbowe kama DJ katika namna ya kutaka kumdharau tu. UVCCM hawamjui Freeman kwa sababu bado ni watoto.

Mbowe ana uzoefu na Siasa za Tanzania na ni mtu mwenye Ushawishi, ndio sababu aliiweza kuwashawishi Mawaziri Wakuu Wastaafu wawili wajiunge CHADEMA, hilo siyo jambo dogo.

Kimsingi kitendo cha Mbowe kumchukua Lowassa ndio kilibadili kabisa mfumo wa Siasa za CCM, ambapo sasa kuna Mawaziri ambao ni zao la Mbowe; mfano Silinde na Katambi ambao Shujaa Magufuli aliwatamani.

Kana kwamba hiyo haitoshi shujaa ilibidi achukue nguvu kazi ya BAWACHA kwa lazima ndio hao akina Covid-19. Sisi tunaomjua Freeman kitambo 1970s tunaomjua ni mtu mwenye maarifa Mengi.

Nimewapeni haya machache Ili mpambane naye kwa hoja kwa sababu zaidi ya hoja mtajisumbua bure, ilimlazimu shujaa kuishushia kitu kizito Club Billicanas lakini mwamba bado anadunda tena kiuimara zaidi.

Halafu Amos ni mtu wa Jazz band enzi zile waliitwa Wakuja wakiishia Amana, DDC au Vijana Air Pambamoto kwa Hemed Maneti.

Mlale unono!
Hana cha next kevel wala nini. Mbowe ni mchumia tumbo kama wachumia tumbo wengine.

Mbowe siyo mwanasiasa mbowe ni pandikizi la system lenye very low iq.
 
Hana cha next kevel wala nini. Mbowe ni mchumtumbo kama wachumia tumbo wengine.

Mbowe siyo mwanasiasa mbowe ni pandikizi la system lenye very low iq.
Nitajie kiongozi wa upinzani Asiye pandikizi la system

Kanisa Moja Takatifu la Mitume
 
Ccm kumejaa watu wa hovyo wanaojadili mambo ya hovyo na kutukana hovyo.
 
Ili uwe mwanasiasa kijana hasa UVCCM unatakiwa kuwa na akili za namna hii. Bahati nzuri mimi ninao marafiki kutoka vyama vya ccm na cdm,kiukweli uvccm ni sumu kwa taifa hili la Tanzania.

Wao wakishamezeshwa itikadi,hapo yy ni mzalendo eti.
Kuna mmoja huyo uvccm kipindi Lissu anapigwa risasi 307 jamaa akawa ana shangilia sana,sasa nikajiuliza,hivi ili uwe uvccm unatakiwa uwe seheme ya watenda maovu?

Miaka miwili baadae,akanitumia ujumbe akiomba msaada wa kumtafuta mpwa wake eti alipotea.
Nika muuliza "Vp,kipindi kile ndugu zake Lissu wana umia kutokana na ndugu yao kulambwa zile risasi,unadhani walikuwa wana jisikiaje?"

Hakutoa majibu.
March 17 2021 baada ya lile tangazo,nikamuuliza "vp, una jisikaje? Hakuwa na majibu.
Jamani, uzalendo siyo kuwa kada wa chama,chawa sijui kupe.
Sawa....

Sote unatuingiza kapu moja?!!!

Ni nani aliyekuambia kuwa kila mwanaUVCCM ana akili timilifu?!!!

Kwani kila mwanaBAVICHA ni timamu ?!!

UVCCM tuna vilaza pia....

Nimekuwepo humu kwa muda....sijawahi kushangilia "madhila" ya ndugu Tundu Lissu....nilipinga ukatili ule humu ndani ,kule Twitter na FB.....

Walioshangilia yale ni mazwazwa iwe wako CCM ama nje yake....

Bahati mbaya ilioje wengine sisi tunapingwa sana na watu wenye kuongozwa na "hisia" humo ndani na nje yake.....

Binafsi sijawahi kumuunga mkono mh.Polepole kwa kila misimamo yake....

Binafsi sijawahi kumuunga mkono mh.Nape kwa kila misimamo yake mathalani ni hivi juzi kaka mkubwa mh.Nape alipotoa "boko" pale bungeni dhidi ya mh.Mbowe.....naye kuna wakati anasukumwa sana na hisia na kupitiliza "maneno"......

Ni kweli anachofanya mh.Mbowe si kizuri....kumchafua Rais wa nchi kwa UBAGUZI na UKANDA....wengine tutaendelea kukumbushana lakini si kwa kuivuka mipaka kwani baba wa taifa alituasa kuendelea kupambana dhidi ya UJINGA....ujinga huanza na "maneno yatokayo kinywani"....

Ndg.Mbowe anawaburuza "wajinga" wasio na taarifa sahihi...

Mfano ,angequote" kifungu cha katiba juu ya yale maneno yake "selling sovereignty"....ametuwekea?!!!

As a nation if we allow tarnishing of image to the vortex of presidential decree to such extent we would be despaired and put ourselves in a Jeopardy......

#SiempreJMT[emoji120]

#MuunganoDaimaDumu[emoji120]

#MamaAnaupigaMwingi[emoji7][emoji2956]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mnampalilia ili adumu milele Ila nyie jamaa bwana
 
Mwambieni mbowe asijisahau kazi iliyomweka hapo Ajikubushe kwa yaliompata Mrema, Slaa na Sefu walipoanza usaliti.
 
Kwa kukusaidia hiyo DP World ipo tu mbele kama shati ila nyuma yake yupo Marekan. Anataka kuchukua hili lango la Bahar kumuwahi mchina ili amiliki nchi nane zinazotuzunguka. DP World wakishakubaliwa waamerica wanaingia nao mkataba. Ndio maana wameweka kituo Kigali. Walikuwa wanasubiria tuwekeze trillion moja bandarin tujenge hii reli mpya then umeme wa Magufuli so akichukua reli amemaliza. Watakuwa na uhakika wa bandari reli na umeme. Hapo Target ni madini ya congo Zambia nk. Waafrika tumekuwa maamuma kubaki kuangalia vitu vidogo ilhali hawajamaa tangu tumeanza ujenz wa reli wanatulia timing. Wakaenda kuwah kuanzisha dry Port Kigali. Na ndicho kilichomleta Kagame hapa Dar juz Kati. Sasa wewe kwasababu hufikir unatuletea udini cjui uarabu. Fikir nje ya box Mzee tunaliwa mchana kweupe. Na huo ni mkataba mmoja Kati ya 17 aliyosain mama pale Dubai.
Umeamua kusimama na "conspiracy theories"?!!!

Pamoja na sera ya nje ya taifa letu ni kutofungamana na upande wowote...lini wamarekani tumewakimbia?!!!lini ?!!

Japo sisi si wakomunisti ,lini wachina tumewakimbia?!!

Kwa hiyo unataka uniaminishe kuwa Vita ya kiuchumi katika ya China na Marekani katika ukanda wa bahari ya Hindi kaishinda Marekani ?!!!

Tanzania imemwezesha mmarekani kuishinda Vita hiyo kwa kumpa uwekezaji DP WORLD ?!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Sisi tunaangalia maslahi yetu tuliyokosa bandarini miaka mingi....kwani "madudu" ya bandari huwenda pia ni kushindwa "Vita" na majirani zetu wenye bandari....hwenda hao majirani ndugu zetu "wanaicheza kidiplomasia" kwa kuhakikisha BANDARI ZETU hazitupi NUSU YA BAJETI YA TAIFA kila "fiscal year"...amekuja mwarabu ,mchina ,mmarekani ,mhindi anatoa "offer" hiyo tukatae tu kwa kuwa nyuma yake kuna NGUVU YA WATU WENYE MINYUKANO KINZANI YA KIMATAIFA?!!!

Dunia imebadilika....

Kila mtu anaangalia "maslahi"...na ndio maana baba wa taifa hayati Nyerere atabaki kuwa kiongozi wa kwanza bora kuliko wote waliotokea Afrika kwa kulifinyanga taifa hili lilivyo....[emoji120]

Tanzania inafaidika na Marekani.....nao WANAFAIDIKA nayo...

Tanzania inafaidika na China....nao WANAFAIDIKA nayo....

#SiempreJMT[emoji120]

#MuunganoDaimaDumu[emoji120]

#MamaAnaupigaMwingi[emoji2956][emoji2956][emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Unapoandika vitu, fanya utafiti mdogo ili ujiridhishe. Unaweza kuandika mambo mengi ya msingi, lakini ukaweka moja tu ka uwongo, post yako yote ikaonekana ni uwongo.

Wewe umatoa sababu zako nyingine kuliko kuingia huko kwenye mambo ya uarabu. Sijui ulikuwa wapi!! Ni ujweli ukio wazi kuwa Rais Samia ana ndugu zake Uarabuni. Mjomba wake wa damu, anaishi Oman. Na mara baada ya kuchukua kiti cha Urais, Rais alifanya ziara ya kikazi nchini Oman. Na kule kati ya watu muhimu aliokutana nao ni pamoja na huyo mjomba wake, na picha zile ziliobeshwa na vyombo mbalimbali vya habari Duniani.

Lakini Rais Samia kuwa na ndugu zake huko Oman, siyo disqualificatuon ya kuwa kiongozi. Obama alikuwa Rais Marekani, baba yake alikuwa Mkenya. Na hilo halikumpunguzia hakibya kuwa Rais wa USA.

Akina Musukuma, Maulid Kitenge na wabunge wengine waliokula rushwa ya DP ili wawe mstari wa mbele katika uporaji wa bandari, hawana ndugu Uarabuni, lakini hulka yao ya uovu imewafanya wafanye uchafu walioufanya. Utawala wa Mwinyi uliuza Loliondo kwa waarabu, lakini Mwinyi hana ndugu Uarabuni.

Chongolo aliyewashinikiza wabunge kuwa ni kazima wabunge wa CCM waupitishe mkataba wa uporaji wa bandari ya Tanganyika, hana ndugu Uarabuni, au Mbarawa aliyeweka sahihi ya mkataba ule wa kishenzi wa kumgawua mwarabu bandari yetu, sudhani kama ana ndugu Uarabuni.

Lakini ni ukweli kuwa kuna mambo ya hovyo kabisa kuhusiana na mkataba wa bandari. Mnasema bandari siyo suala la mwungano. Kama hilo ni kweli kwa nini kiongozi mkuu wa bandari na uongozi wote wa wizara ambako bandari inaangukia wamewekwa Wazanzibari, kwenye kitu kisicho cha mwungano?
Mwungano = muungano
 
Sawa....

Sote unatuingiza kapu moja?!!!

Ni nani aliyekuambia kuwa kila mwanaUVCCM ana akili timilifu?!!!

Kwani kila mwanaBAVICHA ni timamu ?!!

UVCCM tuna vilaza pia....

Nimekuwepo humu kwa muda....sijawahi kushangilia "madhila" ya ndugu Tundu Lissu....nilipinga ukatili ule humu ndani ,kule Twitter na FB.....

Walioshangilia yale ni mazwazwa iwe wako CCM ama nje yake....

Bahati mbaya ilioje wengine sisi tunapingwa sana na watu wenye kuongozwa na "hisia" humo ndani na nje yake.....

Binafsi sijawahi kumuunga mkono mh.Polepole kwa kila misimamo yake....

Binafsi sijawahi kumuunga mkono mh.Nape kwa kila misimamo yake mathalani ni hivi juzi kaka mkubwa mh.Nape alipotoa "boko" pale bungeni dhidi ya mh.Mbowe.....naye kuna wakati anasukumwa sana na hisia na kupitiliza "maneno"......

Ni kweli anachofanya mh.Mbowe si kizuri....kumchafua Rais wa nchi kwa UBAGUZI na UKANDA....wengine tutaendelea kukumbushana lakini si kwa kuivuka mipaka kwani baba wa taifa alituasa kuendelea kupambana dhidi ya UJINGA....ujinga huanza na "maneno yatokayo kinywani"....

Ndg.Mbowe anawaburuza "wajinga" wasio na taarifa sahihi...

Mfano ,angequote" kifungu cha katiba juu ya yale maneno yake "selling sovereignty"....ametuwekea?!!!

As a nation if we allow tarnishing of image to the vortex of presidential decree to such extent we would be despaired and put ourselves in a Jeopardy......

#SiempreJMT[emoji120]

#MuunganoDaimaDumu[emoji120]

#MamaAnaupigaMwingi[emoji7][emoji2956]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Umeshawahi kuishi Zanzibar?

Wazanzabar unadhani wanamchukuliaje Mzanzibara?

Au unataka ubaguzi wafanye Wazanzibar pekee ndiyo inayo kubalika?

Sema hivi"hapa bara kuna watu wanao nufaika pakubwa sana ni ki haramu na uongozi wa Rais wetu na watapigania agombee na ashinde ili waendelee kuvuna na kuvuna shambani kwa bibi na watafanikiwa ilimradi tu lawama hazielekezwi kwao moja kwa moja na ndio watetezi wake wakubwa ikiwa ni pamoja na wewe".

Uzanzibar hupo sana na sana hasa Zanzibar kwenyewe tena wa wazi wazi kabisaaa tofauti na unavyo taka kunidanganya hapa.
 
Nimeangalia orodha ya watu wanaomponda Mbowe kuanzia Wabunge, UVCCM hadi akina Hamad Rashid nikaona 95% ni chuki binafsi tu na wala siyo lile angalizo au tahadhari aliyotoa Freeman.

Mtu kama Kibajaj Tangu ahame CHADEMA na kujiunga CCM amekuwa na bifu na Mbowe. Hamad Rashid akiwa bungeni mara kwa mara alikuwa akimrefer Mbowe kama DJ katika namna ya kutaka kumdharau tu. UVCCM hawamjui Freeman kwa sababu bado ni watoto.

Mbowe ana uzoefu na Siasa za Tanzania na ni mtu mwenye Ushawishi, ndio sababu aliiweza kuwashawishi Mawaziri Wakuu Wastaafu wawili wajiunge CHADEMA, hilo siyo jambo dogo.

Kimsingi kitendo cha Mbowe kumchukua Lowassa ndio kilibadili kabisa mfumo wa Siasa za CCM, ambapo sasa kuna Mawaziri ambao ni zao la Mbowe; mfano Silinde na Katambi ambao Shujaa Magufuli aliwatamani.

Kana kwamba hiyo haitoshi shujaa ilibidi achukue nguvu kazi ya BAWACHA kwa lazima ndio hao akina Covid-19. Sisi tunaomjua Freeman kitambo 1970s tunaomjua ni mtu mwenye maarifa Mengi.

Nimewapeni haya machache Ili mpambane naye kwa hoja kwa sababu zaidi ya hoja mtajisumbua bure, ilimlazimu shujaa kuishushia kitu kizito Club Billicanas lakini mwamba bado anadunda tena kiuimara zaidi.

Halafu Amos ni mtu wa Jazz band enzi zile waliitwa Wakuja wakiishia Amana, DDC au Vijana Air Pambamoto kwa Hemed Maneti.

Mlale unono!
Mh 🤔🤔!! Hapa siongei sana maan huu waeza kua ni mtego!!! Hueleweki ww.
 
Back
Top Bottom