Kwa Siasa za Tanzania Mbowe ni 'next level'. Aliwahi kukutana na Mandela baada ya kutoka jela, ana maarifa mengi!

Kuhusu kufanana na MANDELA KUHUSU KUALIKWA IKULU BAADA TU YA KUTOKA JELA kunaweza kuwa sahihi....japo Mandela hakuwa mahabusu pale Robben Island.... Mbowe alikuwa mahabusu "segedanse".

Sisi vijana wa CCM tunaweza tusimjue Mbowe wa miaka hiyo ya 70....

Ila tunamjua vyema kama mtu "kinyonga" panapokuwa na maslahi yake binafsi.

1)Mbowe alilamba....alilambishwa kufikia uamuzi wa "kubadili gia angani", ushahidi upo bayana.

2)Si tu siasa dhidi ya CCM iliyosabisha yeye na mh.Tundu Lissu wafanye "lobbying" kwa wabunge wa CDU ujerumani kutaka "motion" bundestag kuishinikiza serikali ya Tanzania iachane na ujenzi wa BWAWA la kufua umeme Mwalimu Nyerere wenye kuzalisha megawati 2215....ikaja kufahamika kuwa matajiri wenye viwanda huko walikuwa wanapinga kuogopea biashara zao za "majenereta" kuanzia madogo mpaka yale makubwa ya viwandani....Mbowe alilambishwa haswaaa....[emoji1787][emoji1787]

3)Mbowe hawapingi DP WORLD kisiasa tu....Kalamba....aisukume "ajenda" ya waarabu hao kufadhili "makundi ya kigaidi"...Msukumo huo unatoka kwa baadhi ya wachina na wafanyabiashara wa nchi za magharibi..na unashika kasi kwa kuwa tu mh.Rais SSH anatokea Zanzibar...Mbowe anashangaza sana.....anaingiza ubaguzi wa KIKABILA NA KIKANDA ambao ni haramu kwetu watanzania.....

Kama si mh.Rais SSH...mh.Mbowe angeshtakiwa ile kesi ya Ugaidi....hapa ndipo pangemfanya afanane na hayati Mandela [emoji1787][emoji1787]

Hana shukran....
Hana shukran....

Amezoea siasa za "kusukumana" alizopitia utawala wa awamu ya 5.....

Kukosoa si kosa....ila kusema kuwa mh.Rais SSH anaiuza nchi huku vijana wa Mbowe wakisema kwa kuwa ni "mwarabu" ana wajomba Oman ni kosa la karne....mh.SSH na Oman wapi na wapi?!!!

Hivi Wamakunduchi anapotokea Rais wetu wameanza lini kuwa na "usuhuba" wa damu na waarabu ?!!![emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Yaani wamakunduchi walioitwa WAHADIMU na waarabu leo wamegeuka waarabu?!

Vijana wa Mbowe hawajui historia....watupu kabisa...watuulize sisi makomredi vijana makini wa CCM...tutawafundisha historia ya mataifa haya ya JMT na watu wake.

#SiempreJMT[emoji120]

#MamaAnaupigaMwingi[emoji2956][emoji2956]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ushuzi mtupu
 
Umeshawahi kuishi Zanzibar?

Wazanzabar unadhani wanamchukuliaje Mzanzibara?

Au unataka ubaguzi wafanye Wazanzibar pekee ndiyo inayo kubalika?

Sema hivi"hapa bara kuna watu wanao nufaika pakubwa sana ni ki haramu na uongozi wa Rais wetu na watapigania agombee na ashinde ili waendelee kuvuna na kuvuna shambani kwa bibi na watafanikiwa ilimradi tu lawama hazielekezwi kwao moja kwa moja na ndio watetezi wake wakubwa ikiwa ni pamoja na wewe".

Uzanzibar hupo sana na sana hasa Zanzibar kwenyewe tena wa wazi wazi kabisaaa tofauti na unavyo taka kunidanganya hapa.
Umeanza kuongea yenye "sense"....

Nimeshaishi Zanzibar...

Sikikiza..."two wrongs doesn't make one right"...utashangaza sana kusema kila mzanzibari ni MBAGUZI sawia na kuyasema hayo kwa kila mtanzania bara....

Ni kweli wako wazanzibari WAJINGA...WAJINGA HASWA ...

Ni kweli wako wabara WAJINGA...WAJINGA HASWA....

Sifa kubwa ya UBAGUZI ni mtu kuanza KUTOJITAMBUA...thamani yake ,utu wake na wa wenzake....

Mbaguzi huwa ni "gofu" ndani yake....hujawa na CHUKI kwa wengine kwa sababu ya "emptiness" ndani yake....

Cutting long story short ,wasio na elimu na "kuelimika" wamejaa Zanzibar kama ilivyo huku kwetu....kwa kukosa maarifa ya elimu...kwa kusukukumwa na "elimu ,itikadi potofu" hujawa na INFERIORITY COMPLEX....ni sawa na ile "child abuse".... manifestation yake huwa ukubwani....POST-TRAUMATIC STRESS DISORDER....muogope sana mtu wa hivi....

Hapa ninaongelea maslahi mtambuka ya taifa ambayo pamoja na kuweza kupingwa bali hutoa FAIDA kwa mbaguzi na mpingaji...faida huonekana mwishoni ambako kwa akili NDOGO ya mbaguzi huyo mawazo yake hayawezi kuwanda huko mwishoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nimekutana na wabaguzi wengi wa kizanzibari....

Nimekutana na wabaguzi wengi wa huku kwetu bara....

As it goes,never give wisdom to unworthy because it will be unfair to the knowledgeable [emoji1787][emoji1787]

#SiempreJMT[emoji120]
#MamaAnaupigaMwingi[emoji2956][emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kuhusu kufanana na MANDELA KUHUSU KUALIKWA IKULU BAADA TU YA KUTOKA JELA kunaweza kuwa sahihi....japo Mandela hakuwa mahabusu pale Robben Island.... Mbowe alikuwa mahabusu "segedanse".

Sisi vijana wa CCM tunaweza tusimjue Mbowe wa miaka hiyo ya 70....

Ila tunamjua vyema kama mtu "kinyonga" panapokuwa na maslahi yake binafsi.

1)Mbowe alilamba....alilambishwa kufikia uamuzi wa "kubadili gia angani", ushahidi upo bayana.

2)Si tu siasa dhidi ya CCM iliyosabisha yeye na mh.Tundu Lissu wafanye "lobbying" kwa wabunge wa CDU ujerumani kutaka "motion" bundestag kuishinikiza serikali ya Tanzania iachane na ujenzi wa BWAWA la kufua umeme Mwalimu Nyerere wenye kuzalisha megawati 2215....ikaja kufahamika kuwa matajiri wenye viwanda huko walikuwa wanapinga kuogopea biashara zao za "majenereta" kuanzia madogo mpaka yale makubwa ya viwandani....Mbowe alilambishwa haswaaa....[emoji1787][emoji1787]

3)Mbowe hawapingi DP WORLD kisiasa tu....Kalamba....aisukume "ajenda" ya waarabu hao kufadhili "makundi ya kigaidi"...Msukumo huo unatoka kwa baadhi ya wachina na wafanyabiashara wa nchi za magharibi..na unashika kasi kwa kuwa tu mh.Rais SSH anatokea Zanzibar...Mbowe anashangaza sana.....anaingiza ubaguzi wa KIKABILA NA KIKANDA ambao ni haramu kwetu watanzania.....

Kama si mh.Rais SSH...mh.Mbowe angeshtakiwa ile kesi ya Ugaidi....hapa ndipo pangemfanya afanane na hayati Mandela [emoji1787][emoji1787]

Hana shukran....
Hana shukran....

Amezoea siasa za "kusukumana" alizopitia utawala wa awamu ya 5.....

Kukosoa si kosa....ila kusema kuwa mh.Rais SSH anaiuza nchi huku vijana wa Mbowe wakisema kwa kuwa ni "mwarabu" ana wajomba Oman ni kosa la karne....mh.SSH na Oman wapi na wapi?!!!

Hivi Wamakunduchi anapotokea Rais wetu wameanza lini kuwa na "usuhuba" wa damu na waarabu ?!!![emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Yaani wamakunduchi walioitwa WAHADIMU na waarabu leo wamegeuka waarabu?!

Vijana wa Mbowe hawajui historia....watupu kabisa...watuulize sisi makomredi vijana makini wa CCM...tutawafundisha historia ya mataifa haya ya JMT na watu wake.

#SiempreJMT[emoji120]

#MamaAnaupigaMwingi[emoji2956][emoji2956]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mandela hakua mahabusu kule kisiwani aisee walikokua wanaponda mawe mpaka kubadilishwa jela...
 
Umeanza kuongea yenye "sense"....

Nimeshaishi Zanzibar...

Sikikiza..."two wrongs doesn't make one right"...utashangaza sana kusema kila mzanzibari ni MBAGUZI sawia na kuyasema hayo kwa kila mtanzania bara....

Ni kweli wako wazanzibari WAJINGA...WAJINGA HASWA ...

Ni kweli wako wabara WAJINGA...WAJINGA HASWA....

Sifa kubwa ya UBAGUZI ni mtu kuanza KUTOJITAMBUA...thamani yake ,utu wake na wa wenzake....

Mbaguzi huwa ni "gofu" ndani yake....hujawa na CHUKI kwa wengine kwa sababu ya "emptiness" ndani yake....

Cutting long story short ,wasio na elimu na "kuelimika" wamejaa Zanzibar kama ilivyo huku kwetu....kwa kukosa maarifa ya elimu...kwa kusukukumwa na "elimu ,itikadi potofu" hujawa na INFERIORITY COMPLEX....ni sawa na ile "child abuse".... manifestation yake huwa ukubwani....POST-TRAUMATIC STRESS DISORDER....muogope sana mtu wa hivi....

Hapa ninaongelea maslahi mtambuka ya taifa ambayo pamoja na kuweza kupingwa bali hutoa FAIDA kwa mbaguzi na mpingaji...faida huonekana mwishoni ambako kwa akili NDOGO ya mbaguzi huyo mawazo yake hayawezi kuwanda huko mwishoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nimekutana na wabaguzi wengi wa kizanzibari....

Nimekutana na wabaguzi wengi wa huku kwetu bara....

As it goes,never give wisdom to unworthy because it will be unfair to the knowledgeable [emoji1787][emoji1787]

#SiempreJMT[emoji120]
#MamaAnaupigaMwingi[emoji2956][emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Upuuzi mwingi sana umeandika.

Kujifanya mna upenda sana Muungano ili tu mpige fweza.

Ndiyo,Muungano huu ni wa nchi mbili,Tanganyika na Zanzibar.
Nchi ya Zanzibar ipo na kila mmoja ana iona na ndiyo maana Wazanzibar wana jipambanua wazi kuwa wao ni Wazanzibar hata SSH mwenyewe aliwahi kujipambanua hivyo hivyo (thread iko humu),sasa je Nchi ya Tanganyika iko wapi ilihali ya Zanzibar ipo?

Najua waweza kuwa ni mnufaika wa mkataba wa hovyo wa bandari yetu,hata mimi niasema kuwa huyu Rais kafanya hivyo kwakuwa tu yy hana cha kupoteza,Nchi yake Zanzibar iko salama kabisa.

Watanganyika tuna uzoefu mkubwa sana na mikataba ya namna hii,rejea gas,madini,vitalu vya uwindaji,IPTL, Richmond na mingine iliyowahi kupitishwa na hao hao wa Bunge wasio kuwa hata na chembe ya uzalendo lkn ninyi CCM hamjawahi kukubali kabisa ya kwamba mkataba huu HAUFAI!

Ni ndiooooo! tu na baadae Nchi yetu ina milikiwa na watu wachache. Kwa uzoefu uliopo ndio maana huyu Mzanzibar huyu naye kaona asifanye ajizi.

Na nina uhakika km siyo huyu Rais wetu pekee yuko nyuma ya mkataba huu,basi kuna kundi kubwa sana la Watanzania yuko nao.
 
Nimeangalia orodha ya watu wanaomponda Mbowe kuanzia Wabunge, UVCCM hadi akina Hamad Rashid nikaona 95% ni chuki binafsi tu na wala siyo lile angalizo au tahadhari aliyotoa Freeman.

Mtu kama Kibajaj Tangu ahame CHADEMA na kujiunga CCM amekuwa na bifu na Mbowe. Hamad Rashid akiwa bungeni mara kwa mara alikuwa akimrefer Mbowe kama DJ katika namna ya kutaka kumdharau tu. UVCCM hawamjui Freeman kwa sababu bado ni watoto.

Mbowe ana uzoefu na Siasa za Tanzania na ni mtu mwenye Ushawishi, ndio sababu aliiweza kuwashawishi Mawaziri Wakuu Wastaafu wawili wajiunge CHADEMA, hilo siyo jambo dogo.

Kimsingi kitendo cha Mbowe kumchukua Lowassa ndio kilibadili kabisa mfumo wa Siasa za CCM, ambapo sasa kuna Mawaziri ambao ni zao la Mbowe; mfano Silinde na Katambi ambao Shujaa Magufuli aliwatamani.

Kana kwamba hiyo haitoshi shujaa ilibidi achukue nguvu kazi ya BAWACHA kwa lazima ndio hao akina Covid-19. Sisi tunaomjua Freeman kitambo 1970s tunaomjua ni mtu mwenye maarifa Mengi.

Nimewapeni haya machache Ili mpambane naye kwa hoja kwa sababu zaidi ya hoja mtajisumbua bure, ilimlazimu shujaa kuishushia kitu kizito Club Billicanas lakini mwamba bado anadunda tena kiuimara zaidi.

Halafu Amos ni mtu wa Jazz band enzi zile waliitwa Wakuja wakiishia Amana, DDC au Vijana Air Pambamoto kwa Hemed Maneti.

Mlale unono!
Kwa hiyo kukutana na Mandela ndo kuwa next level? Na ukabila na chuki dhidi ya Wazanzibar atamwachia nani?
 
Upuuzi mwingi sana umeandika.

Kujifanya mna upenda sana Muungano ili tu mpige fweza.

Ndiyo,Muungano huu ni wa nchi mbili,Tanganyika na Zanzibar.
Nchi ya Zanzibar ipo na kila mmoja ana iona na ndiyo maana Wazanzibar wana jipambanua wazi kuwa wao ni Wazanzibar hata SSH mwenyewe aliwahi kujipambanua hivyo hivyo (thread iko humu),sasa je Nchi ya Tanganyika iko wapi ilihali ya Zanzibar ipo?

Najua waweza kuwa ni mnufaika wa mkataba wa hovyo wa bandari yetu,hata mimi niasema kuwa huyu Rais kafanya hivyo kwakuwa tu yy hana cha kupoteza,Nchi yake Zanzibar iko salama kabisa.

Watanganyika tuna uzoefu mkubwa sana na mikataba ya namna hii,rejea gas,madini,vitalu vya uwindaji,IPTL, Richmond na mingine iliyowahi kupitishwa na hao hao wa Bunge wasio kuwa hata na chembe ya uzalendo lkn ninyi CCM hamjawahi kukubali kabisa ya kwamba mkataba huu HAUFAI!

Ni ndiooooo! tu na baadae Nchi yetu ina milikiwa na watu wachache. Kwa uzoefu uliopo ndio maana huyu Mzanzibar huyu naye kaona asifanye ajizi.

Na nina uhakika km siyo huyu Rais wetu pekee yuko nyuma ya mkataba huu,basi kuna kundi kubwa sana la Watanzania yuko nao.
Umeongea yenye uzuri ndani yake ila bado hutaki kuelewa kuwa Zanzibar kweli ipo....ina dola lake la ndani....

Ni hayati baba wa taifa JKN aliyeifuta Tanganyika....hakufuta "kizwazwa" bali kwa faida kubwa na pana zaidi dhidi ya UASI NA UGAIDI.....

Ni hayati baba wa taifa JKN aliyepambana na G55 wa Tanganyika.....

Ni hayati baba wa taifa JKN aliyesema kuwa DOLA LA ZANZIBAR LINABAKI KWA KUCHELEA DOLA LA TANZANIA KULIMEZA......

Usipomwelewa Nyerere wewe utakuwa na "ulakini" kichwani ama ni MBAGUZI TU KAMA MBAGUZI YEYOTE.....[emoji1787][emoji1787]

#SiempreJMT[emoji120]
#MamaAnaupigaMwingi[emoji2956][emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Umeongea yenye uzuri ndani yake ila bado hutaki kuelewa kuwa Zanzibar kweli ipo....ina dola lake la ndani....

Ni hayati baba wa taifa JKN aliyeifuta Tanganyika....hakufuta "kizwazwa" bali kwa faida kubwa na pana zaidi dhidi ya UASI NA UGAIDI.....

Ni hayati baba wa taifa JKN aliyepambana na G55 wa Tanganyika.....

Ni hayati baba wa taifa JKN aliyesema kuwa DOLA LA ZANZIBAR LINABAKI KWA KUCHELEA DOLA LA TANZANIA KULIMEZA......

Usipomwelewa Nyerere wewe utakuwa na "ulakini" kichwani ama ni MBAGUZI TU KAMA MBAGUZI YEYOTE.....[emoji1787][emoji1787]

#SiempreJMT[emoji120]
#MamaAnaupigaMwingi[emoji2956][emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwa nini iwe ni lazina kumuelewa?

Mahitaji ya kipindi hiko ndo yale yale ya leo?
Vp kipindi ubalozi US unalipuliwa tulikuwa hatuna Muungano?

Ingekuwa ni lazima kumuelewa JKN vp leo hii kuna mafisadi tena ndani ya chama chake?
Na hao ni watoto aliowalea,vp una wapa jina gani wao?
 
Ubalozi ulilipuliwa ili kuuvunja muungano ?!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Ninazungumzia UGAIDI wa kisiasa na hata kidini unaoratibiwa kwa ajili ya maslahi ya makampuni makubwa ya kimataifa....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ubalozi ulilipuliwa ili kuuvunja muungano ?!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Ninazungumzia UGAIDI wa kisiasa na hata kidini unaoratibiwa kwa ajili ya maslahi ya makampuni makubwa ya kimataifa....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mnadanganya watu kwamba upo ili kujiepusha na ugaidi na hata wewe umesema hapo au hukuwa wewe?
 
Back
Top Bottom