Kwa Siasa za Tanzania Mbowe ni 'next level'. Aliwahi kukutana na Mandela baada ya kutoka jela, ana maarifa mengi!

Ili uwe mwanasiasa kijana hasa UVCCM unatakiwa kuwa na akili za namna hii. Bahati nzuri mimi ninao marafiki kutoka vyama vya ccm na cdm,kiukweli uvccm ni sumu kwa taifa hili la Tanzania.

Wao wakishamezeshwa itikadi,hapo yy ni mzalendo eti.
Kuna mmoja huyo uvccm kipindi Lissu anapigwa risasi 307 jamaa akawa ana shangilia sana,sasa nikajiuliza,hivi ili uwe uvccm unatakiwa uwe seheme ya watenda maovu?

Miaka miwili baadae,akanitumia ujumbe akiomba msaada wa kumtafuta mpwa wake eti alipotea.
Nika muuliza "Vp,kipindi kile ndugu zake Lissu wana umia kutokana na ndugu yao kulambwa zile risasi,unadhani walikuwa wana jisikiaje?"

Hakutoa majibu.
March 17 2021 baada ya lile tangazo,nikamuuliza "vp, una jisikaje? Hakuwa na majibu.
Jamani, uzalendo siyo kuwa kada wa chama,chawa sijui kupe.
 
Hana cha next kevel wala nini. Mbowe ni mchumia tumbo kama wachumia tumbo wengine.

Mbowe siyo mwanasiasa mbowe ni pandikizi la system lenye very low iq.
 
Hana cha next kevel wala nini. Mbowe ni mchumtumbo kama wachumia tumbo wengine.

Mbowe siyo mwanasiasa mbowe ni pandikizi la system lenye very low iq.
Nitajie kiongozi wa upinzani Asiye pandikizi la system

Kanisa Moja Takatifu la Mitume
 
Ccm kumejaa watu wa hovyo wanaojadili mambo ya hovyo na kutukana hovyo.
 
Sawa....

Sote unatuingiza kapu moja?!!!

Ni nani aliyekuambia kuwa kila mwanaUVCCM ana akili timilifu?!!!

Kwani kila mwanaBAVICHA ni timamu ?!!

UVCCM tuna vilaza pia....

Nimekuwepo humu kwa muda....sijawahi kushangilia "madhila" ya ndugu Tundu Lissu....nilipinga ukatili ule humu ndani ,kule Twitter na FB.....

Walioshangilia yale ni mazwazwa iwe wako CCM ama nje yake....

Bahati mbaya ilioje wengine sisi tunapingwa sana na watu wenye kuongozwa na "hisia" humo ndani na nje yake.....

Binafsi sijawahi kumuunga mkono mh.Polepole kwa kila misimamo yake....

Binafsi sijawahi kumuunga mkono mh.Nape kwa kila misimamo yake mathalani ni hivi juzi kaka mkubwa mh.Nape alipotoa "boko" pale bungeni dhidi ya mh.Mbowe.....naye kuna wakati anasukumwa sana na hisia na kupitiliza "maneno"......

Ni kweli anachofanya mh.Mbowe si kizuri....kumchafua Rais wa nchi kwa UBAGUZI na UKANDA....wengine tutaendelea kukumbushana lakini si kwa kuivuka mipaka kwani baba wa taifa alituasa kuendelea kupambana dhidi ya UJINGA....ujinga huanza na "maneno yatokayo kinywani"....

Ndg.Mbowe anawaburuza "wajinga" wasio na taarifa sahihi...

Mfano ,angequote" kifungu cha katiba juu ya yale maneno yake "selling sovereignty"....ametuwekea?!!!

As a nation if we allow tarnishing of image to the vortex of presidential decree to such extent we would be despaired and put ourselves in a Jeopardy......

#SiempreJMT[emoji120]

#MuunganoDaimaDumu[emoji120]

#MamaAnaupigaMwingi[emoji7][emoji2956]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mnampalilia ili adumu milele Ila nyie jamaa bwana
 
Mwambieni mbowe asijisahau kazi iliyomweka hapo Ajikubushe kwa yaliompata Mrema, Slaa na Sefu walipoanza usaliti.
 
Umeamua kusimama na "conspiracy theories"?!!!

Pamoja na sera ya nje ya taifa letu ni kutofungamana na upande wowote...lini wamarekani tumewakimbia?!!!lini ?!!

Japo sisi si wakomunisti ,lini wachina tumewakimbia?!!

Kwa hiyo unataka uniaminishe kuwa Vita ya kiuchumi katika ya China na Marekani katika ukanda wa bahari ya Hindi kaishinda Marekani ?!!!

Tanzania imemwezesha mmarekani kuishinda Vita hiyo kwa kumpa uwekezaji DP WORLD ?!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Sisi tunaangalia maslahi yetu tuliyokosa bandarini miaka mingi....kwani "madudu" ya bandari huwenda pia ni kushindwa "Vita" na majirani zetu wenye bandari....hwenda hao majirani ndugu zetu "wanaicheza kidiplomasia" kwa kuhakikisha BANDARI ZETU hazitupi NUSU YA BAJETI YA TAIFA kila "fiscal year"...amekuja mwarabu ,mchina ,mmarekani ,mhindi anatoa "offer" hiyo tukatae tu kwa kuwa nyuma yake kuna NGUVU YA WATU WENYE MINYUKANO KINZANI YA KIMATAIFA?!!!

Dunia imebadilika....

Kila mtu anaangalia "maslahi"...na ndio maana baba wa taifa hayati Nyerere atabaki kuwa kiongozi wa kwanza bora kuliko wote waliotokea Afrika kwa kulifinyanga taifa hili lilivyo....[emoji120]

Tanzania inafaidika na Marekani.....nao WANAFAIDIKA nayo...

Tanzania inafaidika na China....nao WANAFAIDIKA nayo....

#SiempreJMT[emoji120]

#MuunganoDaimaDumu[emoji120]

#MamaAnaupigaMwingi[emoji2956][emoji2956][emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mwungano = muungano
 
Umeshawahi kuishi Zanzibar?

Wazanzabar unadhani wanamchukuliaje Mzanzibara?

Au unataka ubaguzi wafanye Wazanzibar pekee ndiyo inayo kubalika?

Sema hivi"hapa bara kuna watu wanao nufaika pakubwa sana ni ki haramu na uongozi wa Rais wetu na watapigania agombee na ashinde ili waendelee kuvuna na kuvuna shambani kwa bibi na watafanikiwa ilimradi tu lawama hazielekezwi kwao moja kwa moja na ndio watetezi wake wakubwa ikiwa ni pamoja na wewe".

Uzanzibar hupo sana na sana hasa Zanzibar kwenyewe tena wa wazi wazi kabisaaa tofauti na unavyo taka kunidanganya hapa.
 
Mh 🤔🤔!! Hapa siongei sana maan huu waeza kua ni mtego!!! Hueleweki ww.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…