Kwa Siasa za Tanzania Mbowe ni 'next level'. Aliwahi kukutana na Mandela baada ya kutoka jela, ana maarifa mengi!

Ushuzi mtupu
 
Umeanza kuongea yenye "sense"....

Nimeshaishi Zanzibar...

Sikikiza..."two wrongs doesn't make one right"...utashangaza sana kusema kila mzanzibari ni MBAGUZI sawia na kuyasema hayo kwa kila mtanzania bara....

Ni kweli wako wazanzibari WAJINGA...WAJINGA HASWA ...

Ni kweli wako wabara WAJINGA...WAJINGA HASWA....

Sifa kubwa ya UBAGUZI ni mtu kuanza KUTOJITAMBUA...thamani yake ,utu wake na wa wenzake....

Mbaguzi huwa ni "gofu" ndani yake....hujawa na CHUKI kwa wengine kwa sababu ya "emptiness" ndani yake....

Cutting long story short ,wasio na elimu na "kuelimika" wamejaa Zanzibar kama ilivyo huku kwetu....kwa kukosa maarifa ya elimu...kwa kusukukumwa na "elimu ,itikadi potofu" hujawa na INFERIORITY COMPLEX....ni sawa na ile "child abuse".... manifestation yake huwa ukubwani....POST-TRAUMATIC STRESS DISORDER....muogope sana mtu wa hivi....

Hapa ninaongelea maslahi mtambuka ya taifa ambayo pamoja na kuweza kupingwa bali hutoa FAIDA kwa mbaguzi na mpingaji...faida huonekana mwishoni ambako kwa akili NDOGO ya mbaguzi huyo mawazo yake hayawezi kuwanda huko mwishoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nimekutana na wabaguzi wengi wa kizanzibari....

Nimekutana na wabaguzi wengi wa huku kwetu bara....

As it goes,never give wisdom to unworthy because it will be unfair to the knowledgeable [emoji1787][emoji1787]

#SiempreJMT[emoji120]
#MamaAnaupigaMwingi[emoji2956][emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mandela hakua mahabusu kule kisiwani aisee walikokua wanaponda mawe mpaka kubadilishwa jela...
 
Upuuzi mwingi sana umeandika.

Kujifanya mna upenda sana Muungano ili tu mpige fweza.

Ndiyo,Muungano huu ni wa nchi mbili,Tanganyika na Zanzibar.
Nchi ya Zanzibar ipo na kila mmoja ana iona na ndiyo maana Wazanzibar wana jipambanua wazi kuwa wao ni Wazanzibar hata SSH mwenyewe aliwahi kujipambanua hivyo hivyo (thread iko humu),sasa je Nchi ya Tanganyika iko wapi ilihali ya Zanzibar ipo?

Najua waweza kuwa ni mnufaika wa mkataba wa hovyo wa bandari yetu,hata mimi niasema kuwa huyu Rais kafanya hivyo kwakuwa tu yy hana cha kupoteza,Nchi yake Zanzibar iko salama kabisa.

Watanganyika tuna uzoefu mkubwa sana na mikataba ya namna hii,rejea gas,madini,vitalu vya uwindaji,IPTL, Richmond na mingine iliyowahi kupitishwa na hao hao wa Bunge wasio kuwa hata na chembe ya uzalendo lkn ninyi CCM hamjawahi kukubali kabisa ya kwamba mkataba huu HAUFAI!

Ni ndiooooo! tu na baadae Nchi yetu ina milikiwa na watu wachache. Kwa uzoefu uliopo ndio maana huyu Mzanzibar huyu naye kaona asifanye ajizi.

Na nina uhakika km siyo huyu Rais wetu pekee yuko nyuma ya mkataba huu,basi kuna kundi kubwa sana la Watanzania yuko nao.
 
Kwa hiyo kukutana na Mandela ndo kuwa next level? Na ukabila na chuki dhidi ya Wazanzibar atamwachia nani?
 
Umeongea yenye uzuri ndani yake ila bado hutaki kuelewa kuwa Zanzibar kweli ipo....ina dola lake la ndani....

Ni hayati baba wa taifa JKN aliyeifuta Tanganyika....hakufuta "kizwazwa" bali kwa faida kubwa na pana zaidi dhidi ya UASI NA UGAIDI.....

Ni hayati baba wa taifa JKN aliyepambana na G55 wa Tanganyika.....

Ni hayati baba wa taifa JKN aliyesema kuwa DOLA LA ZANZIBAR LINABAKI KWA KUCHELEA DOLA LA TANZANIA KULIMEZA......

Usipomwelewa Nyerere wewe utakuwa na "ulakini" kichwani ama ni MBAGUZI TU KAMA MBAGUZI YEYOTE.....[emoji1787][emoji1787]

#SiempreJMT[emoji120]
#MamaAnaupigaMwingi[emoji2956][emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini iwe ni lazina kumuelewa?

Mahitaji ya kipindi hiko ndo yale yale ya leo?
Vp kipindi ubalozi US unalipuliwa tulikuwa hatuna Muungano?

Ingekuwa ni lazima kumuelewa JKN vp leo hii kuna mafisadi tena ndani ya chama chake?
Na hao ni watoto aliowalea,vp una wapa jina gani wao?
 
Ubalozi ulilipuliwa ili kuuvunja muungano ?!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Ninazungumzia UGAIDI wa kisiasa na hata kidini unaoratibiwa kwa ajili ya maslahi ya makampuni makubwa ya kimataifa....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mnadanganya watu kwamba upo ili kujiepusha na ugaidi na hata wewe umesema hapo au hukuwa wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…