Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hata ingekuwa ni wewe, uwezekano wa kuanza kujiona wewe ni mungu, ni mkubwa sana.
Unaweza hata kujiona huna kasoro yoyote ile.
Unaweza ukajiona wewe si binadamu wa kawaida:-….yaani wewe damu yako ni tofauti kabisa na damu za watu wengine. Labda una damu ya rangi ya njano.
Unaweza ukajiona wewe moyo wako umeumbwa tofauti kabisa na mioyo ya watu wengine.
Unaweza ukajiona wewe huna mishipa ya damu iliyotapakaa mwili mzima.
Unaweza ukajiona unao uwezo wa kutenganisha bahari zote zilizopo duaniani.
Unaweza ukajiona wewe mwili wako hauzalishi bakteria kama ilivyo miili yetu sisi wengine.
Unaweza ukajiona wewe unaweza tembea hewani. Yaani kanuni za nguvu za mvutano wewe hazikuhusu kabisa.
Kwa sifa hizo, hata wakitokea wapumbavu wanaotaka uwe Rais wa maisha, hutoweza kuwakemea. Utawafurahia tu.
Urais wa Tanzania ni wa kipekee sana. Labda unaweza tu kufananishwa na urais wa kule Korea ya Kaskazini.
View: https://youtu.be/1-9OC-HXD0M?si=x37ss3tYzZhP5jQU