Kwa siku unaweza kunanihino mara ngapi ?

Kwa siku unaweza kunanihino mara ngapi ?

Karibu Tanzania nchi ambayo msimu wa mvua ukifika raia wake badala wawaze kilimo cha mazao, wanawaza kilimo cha binadamu
 
Wenzio wanawaza kurusha chombo kifike Jupiter mwakani,we unawaza kutiana tu?
Africa tuna matatizo sana
 
As much as you can......

Maana ndio majibu mnayotaka kusikia
 
Kwa siku au kwa mwaka? Au ukishakuwa na mwenzi mapumziko hakuna?...maana ni kama sijaelewa
 
Back
Top Bottom