Kwa Siri Sana Diamond Platnumz na Bi Zuchu wafunga ndoa

Kwa Siri Sana Diamond Platnumz na Bi Zuchu wafunga ndoa

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
10,589
Reaction score
35,268
Tuwaombee wawe na ndoa yenye baraka na fanaka
FB_IMG_1640872746690.jpg
 
nimecheka sana nikakumbuka MTAANI WANASEMA DIAMOND HAWEZI KUFUNGA NDOA Kamwe, AFUNGE NDOA TU KIZEMBE HIVYO NA FRII MASONI WANAMMALIZA KAMA SIO KUMNYANG'ANYA MALI ZOTE NA UMAARUFU WAKE, kwa sababu eti wamewekeana mkataba atazaa tu lakini kufunga ndoa hakuna🤣🤣🤣🤣🤣

Story za kijiweni raha sana
 
Kijana Mondi anakupa stress sana.
 
Mbona wanasema tarehe 14 Bi Zuu ndio anafunga ndoa? Au hafungi na bwana simba?
 
Back
Top Bottom